Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Kwa hiyo ambao walikuwa na elfu 10 mfukoni, walikuwa na vibomu..

Wameshindwa kupiga chabo? Au uchumi mgumu walikosa mwekundu wa msimbazi[emoji23][emoji848]
 
Aisee imeniuma walikuja wamelamba masuti na mitai shingoni, viatu vinang'aa sikuamini kwao kushindwa kujibu swali dogo kama hilo. Kuna tatizo sio kwenye elimu yetu lakini nadhani wasomi wetu wanakariri tu masomo na hawajui hasa wanasoma nini? Nimepata shock serious .Sijawahi maisha yangu yote kuwa shocked kiasi hiki.

mnaulizaje swali la hivi? lengo ilikuwa kukomoana? hata ww yapo simple questions ukiulizwa hutoweza kujibu

acheni tabia za kukomoana ktk maswali, ulizeni maswali ya msingi
 
mbaazi akikosa maua husingizia jua wewe mmojawapo
 
Ila nae alietunga maswali dah. Okay, ndio Tanzania.

Mimi imebidi nigoogle maana nilidhania Simba (ndio maana jina wekundu wa msimbazi).

View attachment 1719435View attachment 1719436View attachment 1719437
Jina la Wekundu wa msimbazi lilitokana na hapo zamani kulikuwa ni eneo ambalo manyani/baboon walikuwa wakiishi. Wazalamo waliwaita WE-KUNDU wa MSIMBAZI, kutokana na "physiology" ya nyani anapokuwa JOTO/HEAT kwa nyuma/vulva huwa nyekundu hivyo ndiyo maana hata hao jamaa zetu waliamua kuitwa WE-KUNDU kwa vile ofisi zao walijengea JANGWANI. Kwa hiyo yeyote anayeshabikia hajui kama nashabikia MINYANI....yaani WE-KUNDU WA MSIMBAZI. Over
 
kazi yenu ili
Consultant aliyetoa hilo swali tulimbeza kuwa haliwezi saidia chuja waomba kazi lakini akasema take from me hilo swali litawabwaga, baada ya mjadala mrefu tukakubali libebe asilimia 70 baada ya ku conconvince. Na kweli consultant ka prove kuwa yuko right, Candidates 75 walioomba hakuna aliyepita kwa swali dogo tu hilo.
kuwa kupata mfanyakazi bora au ni kuchuja wafanyakazi swali kama hilo haliwezi kukupatia mtu bora ni swalila kipuuzi lisilo na maana yeyote..
 
Kwani mtaala wa fani zao una sehemu watu wanapaswa ku cover Alama katika pesa..?
Kama hakuna basi hio knowledge haina mashiko.
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Maswali gani ya kijinga hayo mnatunga au ndiyo mbinu ya kupunguza watu? Sasa mtu akijua kwenye noti ya elf 10 kuna Tembo, ndiyo anakuwa kompitenti? Acheni kutunga maswali ya kukomoa.......tungeni maswali performance based questions..........maswali yako mengi tu ya kumpima candidate.......
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Elimu ya mitano tena

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Hivi usomi ni kujua elfu kumi ina mnyama gani?halafu ukishajua elfu kumi ina mnyama gani au ukijua elfu kumi ina kichwa cha jiwe ndio inaongeza tija gani kwenye maendeleo ya nchi?
Yaani watu waache kufocus mambo makubwa na ya msingi eti waanze kufocus elfu kumi ina mnyama gani?
Kwa haraka haraka hapo mimi nimekuona wewe ndio kilaza kuliko hao uliwafanyia interview kwa sababu elfu kumi kuwa na mnyama sio kitu standard wanaweza kuibadilisha picha anytime wakaweka nyingine.
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Duuh
 
Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?
wabongo waliopewa vitengo ni mbumbumbu tu.
Eti kumjua mnyama wa kwenye noti ndio kigezo cha mtu kupata kazi ina mantiki gani sasa
 
Back
Top Bottom