Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

So what?,Ukijua mnyama gani kwenye elfu 10 ndio inakusaidia nini kwenye managerial decisions and fund management??,Just give me the connection(s)..
Kwahiyo ulitegemea classroom questions za masomo uliyokariri chuoni?Uko high wakati basics huna!!! huelewi hata currency yako mwenyewe!! Financial management of what wakati hata hela yenyewe huijui!!!!

Financial Manager asiyeijui pesa aiseeeee !!
 
Huu ndio upuuzi sasa, yaani mtu aliyesomea maswala ya fedha inakuwaje anatakiwa kuwa na utalaam wa noti zote zilizotengenezwa Tanzania? inahusiana nini na utaalamu wa maswala ya fedha? Mlikuwa mnaajiri mtu wa kutengeneza not au mtu wa Finance? Wewe muuliza maswali ndio ulikuwa na tatizo.

Ni sawa umtafute Dokta yeyote leo, chukulia yule wa Moyo pale Jakaya Kikwete, umlaumu kuwa kwanini haelewi mambo ya masikio?
 
Wewe ndo ujielewi sasa aliyekwambia utaulizwa maswali yako uliyosoma ukiwa class ni nani? Unajua maana halisi ya interview wewe??[emoji848]
Mwaka 2017 au 2018 pana nafasi zilitangazwa na taasisi moja na kupatikana watahiniwa kama 15 hivi.
Moja ya swali waliloulizwa ni kuandika 1,111,111/= kwa maneno kwa lugha ya Kiingereza. Matokeo yake aliyetunga hilo swali alikuja lalamika kuwa takriban wote hawakulijibu hilo swali na elimu ya hao watahiniwa ya chini ni kidato cha sita.
 
Kwa hiyo ulitegemea Classroom questions za masomo uliyokariri chuoni?Uko high wakati basics huna!!! huelewi hata currency yako mwenyewe!! Financial.management of what wakati hata hela yenyewe huijui!!!!
Nani amekwambia umuulizwe maswali ya classroom??,Muulize vitu vitu vya kupima uelewa na wepesi wa ku reason sio huo ujinga wa kukariri ambao hauma maana yoyote...Mfano kwenye field ya mikopo kuna tactical qns kibao unaweza uliza mtu za kutumia common reasoning na ukajua uwezo wake wa utandaji na akili pia..Hao consultant nao walitaka kumaliza zoezi mapema wachukue chao,its business ila usije kutukana vijana hapa wa upuuzi wenu...
 
At least hapa you can achieve something, sio kuuliza watu hela zina minyama gani sijui
 
Safi sana. Huyo Consultant ni smart sana. Hakuna haja ya kuuliza maswali complicated, ya nini? Maswali simple ndio mazuri kwa sababu yanapima kilichobaki baada ya kupata Masters na CPA yako.

Next time hao watahiniwa watakuwa wanajua mpk sh 50 ina mnyama gani.

Nimewakubali sana YEHODAYA
Ndio, mambo ya mzaha mzaha kama ya Usimba na Uyanga hayatakiwi kwenye baadhi ya taasisi.
Pana nchi hapa duniani huwezi pata uraia wake bila ya kuifahau kiufasaha lugha mama ya nchi hiyo na unatahiniwa.
 
Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?
Bora angewapa kigezo Cha kutofautisha note fake na original!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hela gani feki ambayo haina picha ya tembo? Ingekuwa lengo lao ni kuwapima hao candidate juu ya noti feki basi wasingeuliza swali la kipuuzi kama hilo.
 
Huyu ni Mwanasiasa na suala la nani ni Rais wa nchi gani ni la kisiasa la DS au GS, Mwanasayansi atabaki kuwa yule ambaye anashida Maabara au anafanya kazi zinazohusiana na Sayansi kwa kipindi husika. Kama kuna Mbunge hajui Rais wa Kenya ni nani halafu tukamuuliza akasema yeyea alisomea Biashara au Sayansi tutamshangaa mtu huyo kwa Ukilaza mkubwa alioonesha.
 
Uyo jamaa aliyetunga hio swali ni kilaza sana, yaani kutambua shilingi elfu kumi ina mnyama gani nayo ni kipimo cha akili???

bado tuko nyuma sana ndugu zangu
 
great answer short and clear
Wasomi wengi wa siku hizi hawajui nini maana halisi ya interview! Kuna muda mwingine japokua watu wanajua umesoma sana,lakini tungependa kujua uwelewa wako kwa Mambo ya kawaida tu ukoje!! Sasa wao wamesha kariri ma formula kichwani,Sasa wakikutana na swali simple ndiyo wanazidi kupagawa badala watulize akili kwanza na jibu lingekuja kilaini! Sema wao swali liliwapagawisha!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana Jamii forums naomba ufafanuzi. Nimechoka Leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad

Mfumo wa elimu tuliyoipokea toka kwa wakoloni beberu hausadifu kabisa uhitaji wa jamii ya sasa.

Zaidi zaidi umewafanya wasomi kukariri vya kwenye makaratasi ili wapate makaratasi (vyeti) huku watu wakikosa uelewa, uelewa na ukweli wa mahitaji ya mazingira na jamii.

Serikali yetu inalijua hili na inalifanyia kazi ila tujue tuu mchakato wa kubadili mtaala sio rahisi, sio wa siku au mwaka mmoja na una gharama kubwa sana sababu utahusisha mabadiliko ya ki sera yake wadau wote wa elimu ikiwamo wadau wa elimu kwenye mitaala, zana za kufundishi na kujifunzia, mafunzo kwa wawezeshaji na walimu n.k ambayo gharama yake ni kubwa sana

Tukifanikiwa kwenye kuboresha hii elimu tutakua nchi bora sana

Mungu ibariki Tanzania
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana Jamii forums naomba ufafanuzi. Nimechoka Leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad
Aliyeuliza swali hilo kwenye interview ndiyo ana matatizo, ni mjinga. Mtu amesomea taaluma makini kama Finance, unamuuliza swali la namna hiyo, lina tija gani kwake au hata kwa taifa? Kwani alisoma Finance ili ajue kuna picha gani kwenye noti zetu? Ingeleta mantiki kidogo kama angeuliza swali kama "nitajie marais ambao picha zao zimewahi kuwepo kwenye noti zetu. Taaluma ya finance na mtu kukariri picha zilizoko kwenye noti vina uhsiano gani? Haya ni maswali ambayo wanatakiwa kuulizwa watoto wa kenye Ubongo Kids na si kwa mtu msomi aliyehititmu finance akiwa kwenye interview. Ni ujinga
 
Vyote viwili .Unasoma mambo ya pesa miaka kibao na digrii kibao za mambo ya pesa halafu pesa yenyewe huijui!!! pana maneno hapo!!!
Nilifikiri kwenye ushabiki wa siasa ndio unakuwa mweupe, kumbe ni kote kote.
 
Leo nimemkuta binti kwenye daladala anajisomea.
Nikachungulia nikaona
Types of listening
Importance of listening.
Nikasema kama University kwenyewe wanafundisha upumbavu huu ni heri mwanangu P aishie form four nimpe mtaji akalime parachichi za kisasa.
Kwanza umeonesha roho ya kimbea eti 'nikachungulia'

pili, ulitaka chuo wafundishe nini..Much know bana.
 
Back
Top Bottom