SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,375
Shangaa na wewe sasa mkuu,halafu mtu anakuja kujisifia hapa na kuwananga vijana wetu...Kumbe interviewer ndio hopeless..Lengo la kuuliza small details kwenye noti lengo ni Nini..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa na wewe sasa mkuu,halafu mtu anakuja kujisifia hapa na kuwananga vijana wetu...Kumbe interviewer ndio hopeless..Lengo la kuuliza small details kwenye noti lengo ni Nini..?
Kujua elfu 10 ina mnyama gani inamsaidia nini kusimamia mikopo??..Anasimamia picha au anasimamia fedha?,na aliyekwambia mikopo inalipwa kwa cash peke yake ni nani hadi umuulize elfu 10 inafananaje??..Kwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
Hongera kwa wewe unaejikuta unajielewa kwa comment yangu ndogo tu inakutoa povu kwa kudandia gari kwa mbeleWewe ndo ujielewi sasa aliyekwambia utaulizwa maswali yako uliyosoma ukiwa class ni nani? Unajua maana halisi ya interview wewe??[emoji848]
Akirudi kukujibu niambie shwain zakeWewe ndio hujielewi pia,interview inatakiwa ipime common sense and understanding sio uwezo wa kukariri vitu visivyo na maana...Wewe ukiulizwa sh 50 in angles ngapi,lengo la swali linakuwa kupima nini hasa,uwezo wa kukariri ama nini..Maswali ya kiboya kabisa,Mwishoni watakuja kuajiri watu vilaza sababu ya maswali ya hovyo kama hayo...
Hata muuliza swal nae ni bogus kabisa. .unaulizaje swali wack kias hikoHilo swali lilikuwa na marks 70. Hawajatoboa wote, kwenye written interview waende oral interview
Sio vyote viwili,mlikuwa mnataka kuchuja watu,huwezi pima uwezo wa mtu kwa kumuuliza swali kama hilo,akijua elfu 10 ina mnyama gani ndio hapo umepima uwezo gani sasa,wa kukariri au umepima nini??,Kama ni finance manager anapimwa kwa kuulizwa uwezo alionao kwenye field yake na mangine ambayo lengo ni kupima reasoning capacity and decision making,sio ujinga wa elfu 10 ina sijui rangi gani au mnyama gani,for what?..Rubbish!!!..Vyote viwili .Unasoma mambo ya pesa miaka kibao na digrii kibao za mambo ya pesa halafu pesa yenyewe huijui!!! pana maneno hapo!!!
Finance management is very broad, sio kujua picha ya pesa inafananaje,Na aliyekwambia pesa lazima iwe physical cash ni nani??.Nyie na ma interviewer wote Mna mentality kama za gold standard age...Swali kama hilo muulize mwanao upime uwezo wa kukariri na ku interprate picha sio mtu wa degree...Kwa hiyo pesa sio sehemu ya field yake huyo finance manager koko?
Bora angeongea kistaarabu sio kuita vijana wenzetu hopeless,,,Kuna siku watakuja kuuliza mtu amevaa boxer/chupi ya rangi gani hawa...Akirudi kukujibu niambie shwain zake
Teknolojia wapi wewe ? acha kijificha kwenye teknolohia asilimia kubwa ya mzunguko wa pesa na biashara Tanzania ni Cash!!!Wana mentality kama za gold standard age,hawafkirii mabadiliko ya technologia katika fedha ilivyo kua...hao ma interviewer ndi hopeless halafu anakuja kudhalilisha vijana wetu hapa kwa kuwaita vilaza and hopeless...
So what?,Ukijua mnyama gani kwenye elfu 10 ndio inakusaidia nini kwenye managerial decisions and fund management??,Just give me the connection(s)..Teknolojia wapi wewe ? acha kijificha kwenye teknolohia asilimia kubwa ya mzunguko wa pesa na biashara Tanzania ni Cash!!!
Hafai maana anaweza pewa hela feki asiijuie.Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?