Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Aliyesema Saddam Hussein ni Rais wa Libya je? Tumweke kundi gani?Kwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyesema Saddam Hussein ni Rais wa Libya je? Tumweke kundi gani?Kwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
Ili akina YEHODAYA wampe kazi mtu waoLengo ilikua wote wakose halafu iweje?
Hata maprofesa wa finance wangefeli hiyo interview uchwara.Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani?...
Aisee imeniuma walikuja wamelamba masuti na mitai shingoni, viatu vinang'aa sikuamini kwao kushindwa kujibu swali dogo kama hilo. Kuna tatizo sio kwenye elimu yetu lakini nadhani wasomi wetu wanakariri tu masomo na hawajui hasa wanasoma nini? Nimepata shock serious .Sijawahi maisha yangu yote kuwa shocked kiasi hiki
Huku ulisema haumtambui.Ni Rais wangu
Maswali ya kipuuzi tu ili kujimwambafy.Wabongo mnaulizana maswali ya kukoseshana kazi tuu kisa roho mbaya...
Hapana! Anataka kazi ya kujua wanyamaAmeomba kazi ya kutengeneza noti au?
Rais wako wapi kwani huwa hatuoni comment zako!Ni Rais wangu
Acha urongo book 7 mwenzangu, au ilikuwa interview ya kazi kwenye VICOBA. Hilo swali liwe na marks 70, kwanza sio swali ni utoto mtupu.Hilo swali lilikuwa na marks 70. Hawajatoboa wote, kwenye written interview waende oral interview
Juyo kukosea ruksa sababu ni Mwanasayansi sio mwana historia angekuwa kasomea historia akakosea hapo sawa sababu ingekuwa ni area yake. Kwenye area yake ya sayansi yuko vizuri ndio maana aligundua hadi mapapai kuwa yana coronaAliyesema Saddam Hussein ni Rais wa Libya je? Tumweke kundi gani?