Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

[emoji16][emoji16][emoji16]mimi pia nimeshangaa sana! Ndo maana hata swali linaendana na msimamizi.
Pengine hata wasailiwa waliamua kujibu ovyo makusudi kwa kudharau swali na muuliza swali[emoji16]
Na inawezekana alilitunga yeye! Ndio aina ya akili zenyewe hizo Mkuu kwenye uDC; uDAS, uDED, ndio wenye maamuzi hao!
 
Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?
Nimekupata vyema mkuu.
 
Kujua noti ya elfu 10 in mnyama gani unahusika vipi na majukumu yake ya kila siku😁😁😁 interview nyingine za kingese, kutaka kupunguza watu bila sababu😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu Ett Notii ya Elff 5000 inapichaa ya Mnyama ganii??
 
Bongo tabu tupu. Yaani hua wanatunga mitihani lengo kuu Ni watu wafeli ila sio kupima uelewawa taaluma husika.


Yaani mtu akitunga swali wakafauli wengi anajihisi mnyonge ila wakifeli wengi anajiona mwamba na kuanza kudharau elimu za watu.

Interview inahitaji aptitude test sio kukomoana.
 
Kuna maswali yanapima IQ ya candidate mnayetaka kumwajiri kama atawasaidia kuongeza uzalishaji na ufanisi au la,

Msingeweza kuyapata hayo maswali sababu consultant wenu na dpt nzima ilijikita katika kutrick mtu akose swali badala ya utafiti ni nani anawafaa katika hiyo nafasi.
 
Interview ya kishamba sana. Unajiuliza mtu maswali ya nursery school?
Pathetic.
Hapo Ni kwamba interviewers walikua hawajui wawaulize wasomi kitu gani. Inaelekea interviewers Wana pesa za magumash lkn mwe kichwa hamna.
Mimi tangu Niko mdogo nilishajisemea nikikuta interview panel Ina member asiye na degree naghairi. Siwezi kuvumilia maswali ya kijinga. Mtu mwenye CPA na u keshia wapi na wapi.
 
HR na watu kama nyie ndio mna huu ujinga wa kuuliza maswali yasiyokuwa na tija kwenye kazi husika. Sasa unauliza noti ya elfu kumi ina mnyama gani? Huu si upuuzi! Alafu akishajua ina mnyama gani ndio atakuwa mtaalam wa hesabu za kifedha? Mnapoteza watu potential sana kwa maswali yenu ya kijinga badala ya kuuliza maswali ya kazi yenyewe.

Hata dereva mzoefu huwezi kumuuliza eti sterling ya gari imetengenezwa na material gani au route ya Mbeya Dar kuna hoteli ngapi? Quite unrelated questions! Mbaya zaidi ma 'HR' na interviewer mara nyingi wao wenyewe kuna baadhi ya knowledge hawajui sanasana kwa kazi za IT na wanagoogle maswali na majibu hapohapo hawajui hizi technology zinabadilika. Mbaya hajui tofauti mfano Networking au Programming yeye anatafuta tu swali anajua Computer ni computer! Very stupid
 
Ina maana hawakuwa na hata elfu 10 noti?
 
Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?
Hawa ma HR wa aina hii huwa ni wapuuzi sana Mkuu na wanajikuta much know sana
 
Kwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
Acha upuuzi hiyo siyo kazi yake.Kwa hiyo kila polisi au mwanajeshi anatakiwa kujua kutengeneza bunduki? Bora ungesema bank teller maana hata nao kujua kilichopo kwenye noti sio muhimu kwa kuwa siku hizi kuna technology ya Counter machine!
 
Hawa ma HR wa aina hii huwa ni wapuuzi sana mkuu na wanajikuta much know sana
Tatizo ni kutafuta maswali yanayolenga kumfelisha muhusika badala ya kufanya kazi aliyotumwa na bosi wake ya kutafuta mtu anayefaa ili kuongeza ufanisi wa kazi
 
Back
Top Bottom