Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Mbona mnauliza maswali ya kijinga nyie.
Ndio yale yale ya eistein...ya nini nikariri speed of light wakati ni kitu i can just look up.
 
Mbona hiyo ndogoo.
Kuna yule mwenye master's degree ya finance alishindwa kuapa kwa kusoma kiswahili huku anatumbua m11 kwa mwezi.
Kuna yule mdada aliyewataka large sex payers bungeni wafanye kitu flani. Bado Kuna building and Finance.
 
Kama nakuona HR flani mkuda ambaye ana roho ya kukwaza na kufelisha wengine. It’s useless kuuliza swali kama hilo kwenye professional interview, infact hata wewe kabla hamjajadili hilo swali ulikua hujui jibu so na wewe ndio mulemule tu.
 
Swali la kijinga, interviewers nao ndio wale wale tu!
 
Kwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
Cash economy tunaachana nayo....kuna Ewallet siku hizi unaweza kaa mwezi mzima hujashika cash money....na hio position na kushika pesa haviendani, kuna tellers cum cashier
 
Hili swali lina mantiki gani kujua Aina ya mnyama aliyepo kwenye Noti fulani? Noti zina Details nyingi sana ambazo kwa kawaida haina maana ya kuzikariri ndio maana kuna mashine za kuDetect counterfeit note.
 
Kama hizi ndio interview zenyewe za kutuvusha; hatutoboi! Interview zinazosimamiwa na akina YEHODAYA!
[emoji16][emoji16][emoji16]mimi pia nimeshangaa sana! Ndo maana hata swali linaendana na msimamizi.
Pengine hata wasailiwa waliamua kujibu ovyo makusudi kwa kudharau swali na muuliza swali[emoji16]
 
Inakuaje swali moja limepewa marks 70??tena mkishangilia waombaji kukosa? Lengo ilikua wote wakose halafu iweje?
 
Back
Top Bottom