kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 756
- 510
Naye aliyeuliza swali hill alifikiri hao ni ma Tellerwa benki ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana Chadema ni animal ??Mi nilidhani nyumbu
Nadhani waliotunga swali walikengeuka. Mhasibu kazi yake ni utunza record na kubalansisha vitabu, cashier anahesabu pesa na kudhifadhi zinapotakiwa na kwa kipindi cha sasa tunatoka kwenye cash economy tunaenda electronically cum digital.Position gani ilikua? Tuanzie hapa kwanza
Mwenyewe kuuliza ni kilaza zaidi kuliko wajajibuji.Intavyuu gani uchwara kwa mwandiko wa namna hii?
Ungeanza ujifunze kuandika vizuri kwanza, elimu bure siku hizi bwashee.
Eti wametumia kuchuja watahiniwa...labda ilikua position ya wakala wa tigo pesa.Lengo la kuuliza small details kwenye noti lengo ni Nini..?
Thought wakala wa tigo pesaFinance Manager
Huo uchokozi mi simo 😃Ina maana Chadema ni animal ??
Yani mhasibu kweli akose kazi kisa hajui noti ya elfu 10 ina mnyama gani? Sasa mateja wa mtaani wanaziita tembo, ina maana wangewaajiri hao basiHii ni point 99.9% na ndio lengo lao
Cash economy tunaachana nayo....kuna Ewallet siku hizi unaweza kaa mwezi mzima hujashika cash money....na hio position na kushika pesa haviendani, kuna tellers cum cashierKwa hiyo finance Manager anayesimamia mikopo na marejesho hatakiwi kujua hata hela ya marejesho inafananaje?
Dogo Tulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]mimi pia nimeshangaa sana! Ndo maana hata swali linaendana na msimamizi.Kama hizi ndio interview zenyewe za kutuvusha; hatutoboi! Interview zinazosimamiwa na akina YEHODAYA!