Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hata mim niliposoma huu uzi,nkatafakar kabla sjaiona picha,

Aisee sikukumbuka kabsa kuwa kuna mnyama gani hadi nilipoona picha kwenye comment ya jamaa hapo juu

Kwel lilikuwa swali gumu

Cha ajabu kila siku,nashika elfu kumi
 
Japo siamini, ila hii itoshe tu kuonesha kuwa mtaani hali mbaya.

Hao graduates hawana kitu mfukoni ulitaka waijue picha ya 'afukumi' waliishika lini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siwezi kusoma miaka yote hiyo halafu watu waje waniulize swali la kitoto hivyo, wakawaulize watoto au waliozitengeneza mimi nafahamu uchungu wa kuipata hiyo elfu 10 and that's fine maswali yao yakijinga hayan uhusiano wowote na nnachoju kichwani, Stupid.
 
Sasa we unaewauliza noti ina mnyama gani unakuwa na malengo gani?!

Kwamba hawa watu hizo noti hawazishiki au hawajawahi ziona?!

Hivi ikija katika changamoto za kiuchumi au ushindani wa kiuchumi au intelligence ya kiuchumi, hivi sisi kama taifa tunapoaandaa wataalamu wanaoclamisha picha za noti, majina ya viongozi, idadi ya mikoa, rangi sijui ya bendera huwa tunalenga kuwa competent kwenye eneo gani, ujuaji au?!


Mimi mwenyewe huo mtihani ungenivuruga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom