Safi sana. Huyo Consultant ni smart sana. Hakuna haja ya kuuliza maswali complicated, ya nini? Maswali simple ndio mazuri kwa sababu yanapima kilichobaki baada ya kupata Masters na CPA yako.Consultant aliyetoa hilo swali tulimbeza kuwa haliwezi saidia chuja waomba kazi lakini akasema take from me hilo swali litawabwaga, baada ya mjadala mrefu tukakubali libebe asilimia 70 baada ya ku conconvince. Na kweli consultant ka prove kuwa yuko right, Candidates 75 walioomba hakuna aliyepita kwa swali dogo tu hilo.
Next time hao watahiniwa watakuwa wanajua mpk sh 50 ina mnyama gani.
Nimewakubali sana YEHODAYA