Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Consultant aliyetoa hilo swali tulimbeza kuwa haliwezi saidia chuja waomba kazi lakini akasema take from me hilo swali litawabwaga, baada ya mjadala mrefu tukakubali libebe asilimia 70 baada ya ku conconvince. Na kweli consultant ka prove kuwa yuko right, Candidates 75 walioomba hakuna aliyepita kwa swali dogo tu hilo.
Safi sana. Huyo Consultant ni smart sana. Hakuna haja ya kuuliza maswali complicated, ya nini? Maswali simple ndio mazuri kwa sababu yanapima kilichobaki baada ya kupata Masters na CPA yako.

Next time hao watahiniwa watakuwa wanajua mpk sh 50 ina mnyama gani.

Nimewakubali sana YEHODAYA
 
Halafu wakijua zinawasaidia nini? Kwenye utendaji wa majukumu yao ya kila siku???

Interview inahitaji aptitude test. Mimi sijasomea kabisa maswala ya fedha ila Hilo swali ningejibu. Kwa maana hiyo Mimi ningekua finance manager?

Dunia ilishahama huko mnakolazimisha iwe.
 
Hiyo panel yenu mna roho za wajumbe.

All in all mlikua na mtu wenu tayari.
 
Aisee imeniuma walikuja wamelamba masuti na mitai shingoni, viatu vinang'aa sikuamini kwao kushindwa kujibu swali dogo kama hilo. Kuna tatizo sio kwenye elimu yetu lakini nadhani wasomi wetu wanakariri tu masomo na hawajui hasa wanasoma nini? Nimepata shock serious .Sijawahi maisha yangu yote kuwa shocked kiasi hiki
Pole mkuu. Tunasubiri chanjo toka hukohuko.
 
Nchi kuendelea ni kazi sana maana watoa maamuzi ni kama huyu mto nyuzi na anakuja kujisifia kabisa kwa kutojua ujinga wao kabisaa...sema HR huko si ndio waliokimbia hesabu mara nyingi akili zao zinakua visoda...
 
Mbona kuna mtu anasema chanjo ya Korona inaambukiza COVID-19 hujashangaa??
 
Aisee imeniuma walikuja wamelamba masuti na mitai shingoni, viatu vinang'aa sikuamini kwao kushindwa kujibu swali dogo kama hilo. Kuna tatizo sio kwenye elimu yetu lakini nadhani wasomi wetu wanakariri tu masomo na hawajui hasa wanasoma nini? Nimepata shock serious. Sijawahi maisha yangu yote kuwa shocked kiasi hiki
Nimefikiri sana kwa kina ina maana hakuna ata mmoja wao aliyekuwa na pesa mfukoni angalau ya elfu 10 akaitoa na kuangalia mnyama aliyekuwa kwenye Noti?? Shameless to us
 
Aliyekwambia chuoni tunaenda kufundishwa kushika hela ni nani huyo nae aliyekupa kusimamia hiyo interview hajielewi
Wewe ndo ujielewi sasa aliyekwambia utaulizwa maswali yako uliyosoma ukiwa class ni nani? Unajua maana halisi ya interview wewe??[emoji848]
 
Kwa hali niliyoona nadhani tatizo la ajira linasingiziwa wasomi wetu wakipigwa simple questions tu wako weupe vichwani hata swali dogo tu kama hilo ambalo lina match na fani zao kabisa
Wala sio weupe,hilo swali anaulizwa mtoto wa std 7,Huwezi kumuuliza mto wa degree eti elfu 10 in amnyama gani?,Ili iweje,whta wre you trying to achieve kwenye hilo swali?..Maswali ya kukariri unamuuliza mtu mwenye degree??,Mtu mwenye degree anaulizwa maswali ya ku reason.Ni sawa na umuulize eti sh 50 ina anglesa ngapi?,Ili iweje yaani..Interviewer na nyie mlikuwa hopeless and rubbish!!..
 
Haya maswali mengine ni ya kukosesha watu kazi.... Sasa swali hili linamsaidiaje mtalaamu kuinua uchumi wa jamii?
 
Nimefikiri sana kwa kina ina maana hakuna ata mmoja wao aliyekuwa na pesa mfukoni angalau ya elfu 10 akaitoa na kuangalia mnyama aliyekuwa kwenye Noti?? Shameless to us
Unatazamia kwenye wrritten interview?
 
Wewe ndo ujielewi sasa aliyekwambia utaulizwa maswali yako uliyosoma ukiwa class ni nani? Unajua maana halisi ya interview wewe??[emoji848]
Wewe ndio hujielewi pia,interview inatakiwa ipime common sense and understanding sio uwezo wa kukariri vitu visivyo na maana...Wewe ukiulizwa sh 50 in angles ngapi,lengo la swali linakuwa kupima nini hasa,uwezo wa kukariri ama nini..Maswali ya kiboya kabisa,Mwishoni watakuja kuajiri watu vilaza sababu ya maswali ya hovyo kama hayo...
 
Consultant aliyetoa hilo swali tulimbeza kuwa haliwezi saidia chuja waomba kazi lakini akasema take from me hilo swali litawabwaga, baada ya mjadala mrefu tukakubali libebe asilimia 70 baada ya ku conconvince. Na kweli consultant ka prove kuwa yuko right, Candidates 75 walioomba hakuna aliyepita kwa swali dogo tu hilo.
ooh,okey..so the aim ilikuwa kuchuja tu na sio kupima uwezo wao sio??...
 
Back
Top Bottom