Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hivi inakuwaje mtu mwenye akili timamu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia?
Ni ulafi, uroho au nini shida?
Ni ulafi, uroho au nini shida?
Ukila hayo madubwasha lazima akili zako zifanane na yule kilaza wa kizimkazi.Acha masihara na mai wetu
ahahaha 😂 😂 😂Ukila hayo madubwasha lazima akili zako zifanane na yule kilaza wa kizimkazi.
Ulipotea sana hadi nikajua umetekwa na abduli.mtoe kwanza mai wetu
Vipi kuhusu utumboNi ulafi, uroho au nini shida?
Utumbo wa mbuzi uliokaangwa ni balaa mkuu.Vipi kuhusu utumbo
Vipi kuhusu utumbo
Pweza inaongeza damu shekheee... ila kitimotooo naonaga hata mie jau.. japo huwa nakula mala moja mojaNi ulafi, uroho au nini shida?
Watu wanalia ndiziVipi kuhusu utumbo
Watu wanalia ndizi
Mafinyofinyo, panya, kifutu na chatu ni vyakula vya watu kabisaSembuse bata,ngamia watu wanakula mpaka nyani nguchiro
anakula kilichopo !Hivi inakuwaje mtu mwenye akili timamu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia?
Ni ulafi, uroho au nini shida?
kweli mkuu hvo ni vyakula vya watu hasahasa sisi wakijijini panya tunakula sana kwetu sio kibudu.Mafinyofinyo, panya, kifutu na chatu ni vyakula vya watu kabisa
Mambo Iko Huku...!!!😋😋😋Ni Kujibweda Na Kujilambaa Tu ....