Hivi inakuwaje mtu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia?

Hivi inakuwaje mtu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia?

Hujakutana na watu wanaokula nyama za ajabuajabu wewe. Watu wanakula mpaka simba, chui, fisi, mbwa mwitu, mamba, kenge, hawaachi kitu, ni ulafi tu wa nyama
 
Mi napenda mchuzi wake na ile ya kukaanga ,ndizi 2 na kachumbari, pilipili kwa kiasi tu
 
Back
Top Bottom