Hivi inakuwaje mtu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia?

Aliyesema havitakiwi kuliwa ni nani? Au unafata mambo ya bible na quran. Ndugu wale ni wana wa israel walikatazwa lakin wazee na wamama wa israel wanakula. Sasa nakushangaa wewe msukuma wa matingalolo unawapondea. Lini mungu kasema na mmasai ngarandondo kuwa ni vibaya kula, au mkuria wa masingantaro lini kakutana na mungu au hata malaika akamwambia asile, mchaga wa huko chameterongabu lini akaakutana na huyo musa na haruni wakapiga story za nguruwe, pweza na ngamia. Utakufa njaa wewe endelea kuiga. Jambo la waisirael unaleta bongo kweli. Ngoja nimalizie nyagi yangu hapa nakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ