LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Apr 26, 2026 #21 Hujakutana na watu wanaokula nyama za ajabuajabu wewe. Watu wanakula mpaka simba, chui, fisi, mbwa mwitu, mamba, kenge, hawaachi kitu, ni ulafi tu wa nyama
Hujakutana na watu wanaokula nyama za ajabuajabu wewe. Watu wanakula mpaka simba, chui, fisi, mbwa mwitu, mamba, kenge, hawaachi kitu, ni ulafi tu wa nyama
Mr Ha Senior Member Joined Jun 19, 2021 Posts 187 Reaction score 505 Apr 26, 2026 #22 Mi napenda mchuzi wake na ile ya kukaanga ,ndizi 2 na kachumbari, pilipili kwa kiasi tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 26, 2026 #23 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw