Lazima kamba nayo itunzwe la sivyo itakatikaSerikali imeweka mafao makubwa serikalini,bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao?
Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hada?
... swali lako ungelipeleka kwenye vikao vya chama chenu pangekuwa mahali sahihi zaidi kuliko kuja kuuliza humu! Malafi yanayopora nchi yote yamejazana chamani kaulizie humo wakupe ufafanuzi kwanini wanafanya hivyo. Bila Katiba ya Wananchi hatutoki asilani.Serikali imeweka mafao makubwa serikalini,bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao?
Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hada?
Mihimili iko mitatu ndio maana nikauliza hapa kote kuna watunzwa maisha yao yote... swali lako ungelipeleka kwenye vikao vya chama chenu pangekuwa mahali sahihi zaidi kuliko kuja kuuliza humu! Malafi yanayopora nchi yote yamejazana chamani kaulizie humo wakupe ufafanuzi kwanini wanafanya hivyo
... chama ndicho kinachozalisha hao walafi. Nenda kwenye kiini cha tatizo badala ya kuhangaika na matokeo.Mihimili iko mitatu ndio maana nikauliza hapa kote kuna watunzwa maisha yao yote
Chama hakina watunzwa maisha yao yote
Serikali imeweka mafao makubwa serikalini,bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao?
Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hasa?
CCM ilizaliwa 1977 wakati wa uhuru haikuweko CCM ilikuweko TANU
Nami namshangaa huyo anayekuja kutuuliza sisi[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Si ndio katiba CCM mnayoipenda ?
Tukitaka kuibadili hamtaki halafu mnakuja kuuliza tena?
Usituchoshe sasa , kama katiba isiomdhibiti Rais unaona ipo sawa.Katiba hata ya sasa hairuhusu hayo onyesha kifungu kinachoruhusu kula kwa urefu wa kamba
Urefu wa kamba ni ukubwa wa mshahara. Ni matumizi ya lugha za mafumbo tu.Katiba hata ya sasa hairuhusu hayo onyesha kifungu kinachoruhusu kula kwa urefu wa kamba