Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Mtu mwenye uchagua afanya biashara gani na sio kupangiwa au kuambiwa afanye biashara fulani.Haijalishi anauza kwa njia ipi, ila leo hii anaweza hata anza kupika vitumbua na bado atauza, saaa sisi wasomi mwambie aanze kupika vitumbua kama hamjagombana.
Hakuna biashara ya msomi na isio ya msomi ila wewe sasa kwa sababu umeenda shule onyesha tofauti,
Kwamba hata ntu akiletwa aseme hili genge ni la msomi na hili sio la msomi na kweli mtu anaona tofauti
Nimekielewa sana,sema unataka kuiepushia serikali na lawama za kutokuwa na ajira. Wewe umepoteza muda gani kusoma toka A level? Umefika chuo lakini hakuna ajira? Kwa hiyo chuo ulifata genge la 20k?Hujaelewa nilichoandika rudia kusoma
Wazazi tunachangia watoto kuwa jobless kwa mawazo kama haya. Mtoto hatiwi moyo kuanza chochote anakatishwa tamaa na mzazi ndugu na marafiki na jamiiHii hali ya Graduates kuwa jobless inaumiza sana wazazi yani ukizingatia wali sacrifice pakubwa mno halafu mtoto aje kuuza nyanya kwa elimu ya takribani million 20 ndani ya miaka isiopungua 16?
Serikali ipi hio?Wazazi tunachangia watoto kuwa jobless kwa mawazo kama haya. Mtoto hatiwi moyo kuanza chochote anakatishwa tamaa na mzazi ndugu na marafiki na jamii
Ndani kupika chips kuku mitaani inanekana biashara ya wapisima Tanzania Lakini kuna mabiñionea wa STEERS wapi hata Tanzania .Kazi yao kuu kuuza chips kuku na wako dunia nzima kwa shughuli hiyo tu.Mumiliki alianza kuuza nyumbani kwake sasa hivi anaajiri graduates!!!!
Wazazi tu encorage watoto kufanya kitu na tuwatie moyo kuanza chochote huu mtizamo wako kama una mtoto atakudodea nyumbani na kuharibikia nyumbani mtie moyo aanze chochote
Ww kama sio mtoto wa job ndugai sijui...kama serikali haizai mtoto basi kwanini wanawapangia wazazi na kulazimisha kwenda shule?Serikali haijawahi kuzaa mtoto yeyote wewe mzazi na mwanao mjiongeze
Kwani inakuwaje mtu aliyesoma science, kuwa mwalimu wa science na kufanya kazi maabara ya kemia kutoamini science.Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Kwa hiyo solutión akae tu kula kulala kwa wazazi au ndugu?Vijana wanamaliza vyuoni wakiwa na miaka 26 nakuendelea huo muda wakufanya biashara ya genge hadi kuja kutoka kimaisha sio rahisi hawa wengi maisha yao hawajazoea kukaza mikanda wanamatumizi makubwa kuliko mapato wahitimu wengi biashara zimewashinda
Darasani na biashara ni vitu viwili.Hakuna matajiri wa kati walioishia la 4? Acha kujipa moyo mzee
Huyu kijana analelewa na shemeji yake kwa hiyo hana wasi wasi kabisa. Wale wakuunga mkono maoni ya shemeji yake hata kama ni mabayaNi rahisi sana kusema hivyo kwakuwa hayajakugusa ila usiombe yakukute... Ukiona mtu anakusapoti ulichoandika basi hayajamfika bado!
FafanuaDarasani na biashara ni vitu viwili.
Elimu ya ufanyaji Biashara
WekaAnafundishwa sana au tuweke hapo content za kozi?
Kwa hiyo mpaka hapo umegundua biashara inategemea bidhaa gani unauza na ina uhitaji gani kwa jamii!Bill gates alianza na computer moja akaitumia kuandika software za Microsoft baadaye akaanza kuziuza
Computer moja imemfanya kuwa bilionea
Somo la ujasiria mali kwenye course ya business administration huwa wanafundisha la nini? Kuwapotezea muda au? Somo la marketing pia huwa wanasoma la nini?Business administration sio ujasiriamali ni course ya usimamizi wa biashara. Na sio ujasiriamali kuanzisha biashara from scrath
Walimu wa business administration wana business tayari hiyo ya kuwauzia wanafunzi kile wanachojua kwa kuwauzia kwa kuwachaji adaKabla ya kuwashangaa hao wahitimu, shangaa kwanza walimu wao “waliobobea” kwenye Business Management skills. Wengi hawana hata banda la kuku
Mwalimu mzuri ni yule anayefundisha kile alichokifanya/anachokifanya na kuexperince jinsi ya kunavigate