Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

Haijalishi anauza kwa njia ipi, ila leo hii anaweza hata anza kupika vitumbua na bado atauza, saaa sisi wasomi mwambie aanze kupika vitumbua kama hamjagombana.

Hakuna biashara ya msomi na isio ya msomi ila wewe sasa kwa sababu umeenda shule onyesha tofauti,

Kwamba hata ntu akiletwa aseme hili genge ni la msomi na hili sio la msomi na kweli mtu anaona tofauti
Mtu mwenye uchagua afanya biashara gani na sio kupangiwa au kuambiwa afanye biashara fulani.

Biashara ni imani.
 
Hujaelewa nilichoandika rudia kusoma
Nimekielewa sana,sema unataka kuiepushia serikali na lawama za kutokuwa na ajira. Wewe umepoteza muda gani kusoma toka A level? Umefika chuo lakini hakuna ajira? Kwa hiyo chuo ulifata genge la 20k?

Kama hakuna ajira kwann serikali isiweke mazingira mazuri kwa wahitimu ili kupunguza msongamano wa wasomi mtaani?

Nchi hii tuna shida ya kila kitu kasoro ardhi tu,ww umemaliza chuo badala ya kuipa serikali wazo la kufungua kiwanda cha mafuta ya kupikia ili kumaliza kero unawaza kufungua genge la 20k!! Hilo genge litasaidia watz wangap?

Kwa hiyo unamaanisha watu wasitafute elimu ya chuo? Pole sana ndugu yangu sina elimu kama yako lakini nasikitika ushauri wako.
 
Hii hali ya Graduates kuwa jobless inaumiza sana wazazi yani ukizingatia wali sacrifice pakubwa mno halafu mtoto aje kuuza nyanya kwa elimu ya takribani million 20 ndani ya miaka isiopungua 16?
Wazazi tunachangia watoto kuwa jobless kwa mawazo kama haya. Mtoto hatiwi moyo kuanza chochote anakatishwa tamaa na mzazi ndugu na marafiki na jamii

Ndani kupika chips kuku mitaani inanekana biashara ya wapisima Tanzania Lakini kuna mabiñionea wa STEERS wapi hata Tanzania .Kazi yao kuu kuuza chips kuku na wako dunia nzima kwa shughuli hiyo tu.Mumiliki alianza kuuza nyumbani kwake sasa hivi anaajiri graduates!!!!

Wazazi tu encorage watoto kufanya kitu na tuwatie moyo kuanza chochote huu mtizamo wako kama una mtoto atakudodea nyumbani na kuharibikia nyumbani mtie moyo aanze chochote
 
Serikali ipi hio?
 
Kama hakuna ajira kwann serikali isiweke mazingira mazuri kwa wahitimu ili kupunguza msongamano wa wasomi mtaani?
Serikali haijawahi kuzaa mtoto yeyote wewe mzazi na mwanao mjiongeze
 
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?

Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20

Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Kwani inakuwaje mtu aliyesoma science, kuwa mwalimu wa science na kufanya kazi maabara ya kemia kutoamini science.

Na badala yake anaamini kwenye NDUMBA ???
 
Vijana wanamaliza vyuoni wakiwa na miaka 26 nakuendelea huo muda wakufanya biashara ya genge hadi kuja kutoka kimaisha sio rahisi hawa wengi maisha yao hawajazoea kukaza mikanda wanamatumizi makubwa kuliko mapato wahitimu wengi biashara zimewashinda
 
Kwa hiyo solutión akae tu kula kulala kwa wazazi au ndugu?
 
Ni rahisi sana kusema hivyo kwakuwa hayajakugusa ila usiombe yakukute... Ukiona mtu anakusapoti ulichoandika basi hayajamfika bado!
 
Business administration sio ujasiriamali ni course ya usimamizi wa biashara. Na sio ujasiriamali kuanzisha biashara from scrath
 
Hakuna matajiri wa kati walioishia la 4? Acha kujipa moyo mzee
Darasani na biashara ni vitu viwili.

Elimu ya ufanyaji Biashara its more practical.

Ndio maana wazazi au ndugu wanao shirikiana na juniors katika kufanya biashara.

Mwisho wa siku ao juniors wakigrow uwa wafanya biashara wazuri tu.

Kwa sababu biashara ni imani.

Imani ya biashara ni kama it has to developed and nurtured.

Sikatai exceptions zipo.
 
Ni rahisi sana kusema hivyo kwakuwa hayajakugusa ila usiombe yakukute... Ukiona mtu anakusapoti ulichoandika basi hayajamfika bado!
Huyu kijana analelewa na shemeji yake kwa hiyo hana wasi wasi kabisa. Wale wakuunga mkono maoni ya shemeji yake hata kama ni mabaya
 
Kinachofundishwa ni leading kwenye ngazi za juu yaani manager kuimplement decision za kampuni na kupanga mipango mizuri ya utawala mfano manager wa finance anawaongoza wa chini yake jinsi ya kutumia mifumo ya kifance kusaidia kampuni kujiendesha hivyo Kama ni kufungua kampuni na kuiendesha ni sawa au kulead kampuni ya mtu ya mtu mwenye mtaji unaoweza kufungua kampuni na siyo hizo small business za genge ambazo zinaweza kufanywa na mtu yeyote hata mwenye elimu ndogo na mtaji mdogo, kampuni inavitengo vinavyohitaji kusimiwa na ndiyo managers wanaajiliwa hao waliosemea, japo Kuna somo la entrepreneur la kujua kuendesha small business lakini kwa mtu mwenye Bachelor ya BA anahitaji kufungua kampuni maana anaweza kuiendesha na kubadili maisha yake tatizo linakuwa mtaji badala ya genge anatakiwa kufungua supermarket, badala ya kushona nguo kibarazani anatakiwa kufungua kiwanda cha kushona nguo Kama alijiongeza kujua kushona, badala ya kukaanga maandazi kilo moja na kuuza kwenye sinia yanapingwa vumbi akafungua kiwanda cha vitafunio viliyopakiwa au kupashwa Kila mteja anaponunua and so on.
 
Bill gates alianza na computer moja akaitumia kuandika software za Microsoft baadaye akaanza kuziuza

Computer moja imemfanya kuwa bilionea
Kwa hiyo mpaka hapo umegundua biashara inategemea bidhaa gani unauza na ina uhitaji gani kwa jamii!
 
Business administration sio ujasiriamali ni course ya usimamizi wa biashara. Na sio ujasiriamali kuanzisha biashara from scrath
Somo la ujasiria mali kwenye course ya business administration huwa wanafundisha la nini? Kuwapotezea muda au? Somo la marketing pia huwa wanasoma la nini?

mtizamo wako hauko sahihi unawaza tu compañy business administration unasahau personal business administration!!!! Au Famiñy business administration
 
Kabla ya kuwashangaa hao wahitimu, shangaa kwanza walimu wao “waliobobea” kwenye Business Management skills. Wengi hawana hata banda la kuku

Mwalimu mzuri ni yule anayefundisha kile alichokifanya/anachokifanya na kuexperince jinsi ya kunavigate
Walimu wa business administration wana business tayari hiyo ya kuwauzia wanafunzi kile wanachojua kwa kuwauzia kwa kuwachaji ada
 
Back
Top Bottom