Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Mtu mwenye uchagua afanya biashara gani na sio kupangiwa au kuambiwa afanye biashara fulani.Haijalishi anauza kwa njia ipi, ila leo hii anaweza hata anza kupika vitumbua na bado atauza, saaa sisi wasomi mwambie aanze kupika vitumbua kama hamjagombana.
Hakuna biashara ya msomi na isio ya msomi ila wewe sasa kwa sababu umeenda shule onyesha tofauti,
Kwamba hata ntu akiletwa aseme hili genge ni la msomi na hili sio la msomi na kweli mtu anaona tofauti
Biashara ni imani.