Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business adminstrate?

Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20

Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Hahaaa Mind set mkuu,
 
Genge unalochukulia poa mimi niliuza mwaka jana kipindi cha corona. Iko hivi, Waziri Mkuu alipofunga vyuo mimi nikakomaa ghetto ila kutokana na mishe zangu kutegemea sana wanachuo nikafeli somewhere na movement za watu mtaani zilipungua then mzunguko wa pesa ukawa doro sana.

Nikaenda home maza walifunga ofisi akawa ameweka genge maskani nikawa nauza. Tulipiga kama mwezi tukaamua tuachane nalo. Maza na mimi sote hatuko mbali sana na elimu ya biashara. Nikaja gundua kwa nini wauza genge huwa hawatoboi maisha. Wengi wanapata hela ya kujikimu, hakuna progress kabisa.

Kuna biashara zinafanywa na watu wasio na options kabisa. Wewe unamlipia mwanao ada miaka zaidi ya 10 ili aje kuuza nyanya za kubinyabinya mkononi?
 
Tena unakuta ana GPA kali sana
 
Business Administration siyo somo la biashara japo marketing imo Ila watu wengi wasichoelewa kinachofundishwa ni utawala ile department ya utawala yaani managerial ya kusimamia decision making, ndo maana wanasomea BA Wana perform vizuri wanapokuwa kwenye position za management Kama finance manager, HRM, Marketing Manager na nyingine za management, ni Kama mtu aliyesomea chuo cha CBE Kuna course tofauti na siyo kwamba unasomea jinsi ya kufungua biashara Kama wengi wanavyodhani.
Nadhani kuna masomo ya hadi jinsi ya kuanzisha biashara kuandaa michanganuo na kadhalika
 
Inashangaza sana, ila kama unasoma uje kuanzisha genge la nyanya la 20,000 bora usiende kusoma uanze mapema kuliko kupoteza muda.
Wewe ni mjinga sana, Na kwa akili yako unadhani ukiwa msomi unapaswa kuanza na biashara ya kuuza Magari.

Genge la nyanya ni biashara kikubwa ni unaendesha vipi hilo genge? Bakhresa anauza maandazi ila kama angekuwa ni Graduate kaanza kuuza mandazi maneno yangekuwa mengi sana, hizi ndo akili zatu
 
Wewe ni mjinga sana, Na kwa akili yako unazani ukiwa msomi unapaswa kuanza na biashara ya kuuza Magari.

Genge la nyanya ni biashara kikubwa ni una endesha vipi hilo genge? Bagharesa anauza mandazi ila kama angekuwa ni Graduate kaanza kuuza mandazi maneno yangekuwa mengi sana, hizi ndo akili zatu
Hivi Bakhresa hayo mandazi anayauza kama wale wa mama wanaokaanga hapo mtaani kwenu? Biashara ya Bakhresa ya mandazi huenda ni mtaji mkubwa kuliko wa ukoo wenu mzima. Ile ni biashara ya chakula yenye uwekezaji mkubwa, hayo mandaazi yanasambazwa na magari, hiyo kampuni siyo kama hilo genge unalosema wewe.

Kama unasoma uje kufungua genge 20,000 hiyo pesa ya kusoma bora uikusanye uanzishe genge mapema usipoteze muda. Unasikia wewe mwerevu?
 
Business Administration siyo somo la biashara japo marketing imo Ila watu wengi wasichoelewa kinachofundishwa ni utawala ile department ya utawala yaani managerial ya kusimamia decision making, ndo maana wanasomea BA Wana perform vizuri wanapokuwa kwenye position za management Kama finance manager, HRM, Marketing Manager na nyingine za management, ni Kama mtu aliyesomea chuo cha CBE Kuna course tofauti na siyo kwamba unasomea jinsi ya kufungua biashara Kama wengi wanavyodhani.

Hakika we ni mtaaluma hasa, umejibu kwa weledi mkubwa sema watz wengi ni wajuaji kisa kaona neno Business, basi akili yake inawaza kuwa ni trade.

Hawajui kuwa Business Administration ni taaluma ya Usimamizi, utawala, Menejimenti, inamuaandaa mtu kuwa Meneja/Afisa utawala katika taasisi.

Haufundishwi kuanzisha biashara, ila unafundishwa kusimamia mifumo iliyowekwa tayari, ili kuleta output yenye faida katika kampuni au Taasisi. Usimamizi wa rasilimali watu, Properties etc. Kiufupi ni sawa na taaluma nyingine za administration kama ilivyo Public Administration, HRM, Health Management etc, sema BA inakuwa na vitu vya ziada.
 
Genge unalochukulia poa mimi niliuza mwaka jana kipindi cha corona. Iko hivi, Waziri Mkuu alipofunga vyuo mimi nikakomaa ghetto ila kutokana na mishe zangu kutegemea sana wanachuo nikafeli somewhere na movement za watu mtaani zilipungua then mzunguko wa pesa ukawa doro sana.

Nikaenda home maza walifunga ofisi akawa ameweka genge maskani nikawa nauza. Tulipiga kama mwezi tukaamua tuachane nalo. Maza na mimi sote hatuko mbali sana na elimu ya biashara. Nikaja gundua kwa nini wauza genge huwa hawatoboi maisha. Wengi wanapata hela ya kujikimu, hakuna progress kabisa.

Kuna biashara zinafanywa na watu wasio na options kabisa. Wewe unamlipia mwanao ada miaka zaidi ya 10 ili aje kuuza nyanya za kubinyabinya mkononi?
Shida ndo inakuja hapo, yaani wewe umesima unataka kufanya genge sawa na ambaye hajaenda shule?

Nina mtu ana genge lake ila yeye anasambaza mahitaji kwa watu, na kwa sasa pia kwenye genge lake kaanzisha kwenda kuchukua ndizi na vitu vingine na kuwasambazia wenye magenge kwa sasa kanunua Guta,

Biashara ni Technique sana sasa ukifanya tu ilimradi lazima ile kwako,
Lazima kuwe na tofauti ya Genge la Graduate na Genge la mtu ambaye hata shule hajaenda
 
Hivi bakhresa hayo mandazi anayauza kama wale wa mama wanaokaanga hapo mtaani kwenu? Biashara ya Bakhresa ya mandazi huenda ni mtaji mkubwa kuliko wa ukoo wenu mzma. Ile ni biashara ya chakula yenye uwekezaji mkubwa, hayo mandaazi yanasambazwa na magari, hiyo kampuni siyo kama hilo genge unalosema wewe.
Kama unasoma uje kufungua genge 20,000 hiyo pesa ya kusoma bora uikusanye uanzishe genge mapema usipoteze muda. Unasikia wewe mwerevu?
Haijalishi anauza kwa njia ipi, ila leo hii anaweza hata anza kupika vitumbua na bado atauza, sasa sisi wasomi mwambie aanze kupika vitumbua kama hamjagombana.

Hakuna biashara ya msomi na isio ya msomi ila wewe sasa kwa sababu umeenda shule onyesha tofauti,

Kwamba hata ntu akiletwa aseme hili genge ni la msomi na hili sio la msomi na kweli mtu anaona tofauti
 
Hivi bakhresa hayo mandazi anayauza kama wale wa mama wanaokaanga hapo mtaani kwenu? Biashara ya Bakhresa ya mandazi huenda ni mtaji mkubwa kuliko wa ukoo wenu mzma. Ile ni biashara ya chakula yenye uwekezaji mkubwa, hayo mandaazi yanasambazwa na magari, hiyo kampuni siyo kama hilo genge unalosema wewe.
Kama unasoma uje kufungua genge 20,000 hiyo pesa ya kusoma bora uikusanye uanzishe genge mapema usipoteze muda. Unasikia wewe mwerevu?
Nyie ndo wale wale, Biashara ni Malengo sio kufuata mikumbo na sifa, Genge ni malengo mbona kuna wahindi wana magenge ya kuuza matunda na nyanya Arusha?

Biashara ni unalenga nini na sio aina ya biashara, ndio shida ya masikini kwa masikini kupeana ushauri
 
Haijalishi anauza kwa njia ipi, ila leo hii anaweza hata anza kupika vitumbua na bado atauza, saaa sisi wasomi mwambie aanze kupika vitumbua kama hamjagombana.

Hakuna biashara ya msomi na isio ya msomi ila wewe sasa kwa sababu umeenda shule onyesha tofauti,

Kwamba hata ntu akiletwa aseme hili genge ni la msomi na hili sio la msomi na kweli mtu anaona tofauti
Nimekuuliza maana ulikurupuka, biashara ya mandazi ya bakhresa ni sawa na wamama wanaochoma mandazi mtaani kwenu?
 
Nyie ndo wale wale, Biashara ni Malengo sio kufuata mikumbo na sifa, Genge ni malengo mbona kuna wahibdi wana magenge ya kuuza matunda na nyanya Arusha?

Biashara ni unalenga nini na sio aina ya biashara, ndo shida ya masikini kwa masikini kupeana ushauri
Na yenyewe yana mitaji ya 20,000?
 
Bill gates alianza na computer moja akaitumia kuandika software za Microsoft baadaye akaanza kuziuza

Computer moja imemfanya kuwa bilionea
Kwani unataka programmer atumie computer ngapi kuandika software? Na huyo bilgate alidrop out chuo, kama ninavyosema ukiona unataka anzisha genge la 20,000 anza mapema usipoteze muda kwenda kusoma chuo.
 
Bill gates alianza na computer moja akaitumia kuandika software za Microsoft baadaye akaanza kuziuza

Computer moja imemfanya kuwa bilionea
Ujue watu wanazania ukiwa msomi basi kuna aina ya biashara hupaswi kufanya na hii ndo sababu Graduate wamejaa mtaani.

Utofauti huja kwenye Model of oparation, Genge mtu anaweza kuja kumiliki Supermarket ila hayo yote ni malengo.

Sasa humu watu wanazania msomi unatakiwa kuanzia juu uwe na supermarket, kwa akili hizi lazima Graduate wawe wengi mtaani
 
Nimekuuliza maana ulikurupuka, biashara ya mandazi ya bakhresa ni sawa na wamama wanaochoma mandazi mtaani kwenu?
Wewe pimbi mgumu sana wa kuelewa wewe msomi.

Nisha kuambia Model of oparation ndo tofauti ila wote wanakaanga mandazi sawa?

Wote wanapika kitu kinaitwa mandazi sasa baadae ndo inakuja je huyu anapikapika vipi na anauza uza vipi?

Nyie ndo mmekaa mnazania ukiwa msomi basi uko very Exceptional, Hivyo vyeti ni karatasi tu
 
Back
Top Bottom