Hahahhaahaha"kumeza notisi" umenivunja mbavu hatari
Nadhani pia hata wanaosoma hawajielewi wanameza notisi tu ili wafaulu tu mitihani wapate digrii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani pia hata wanaosoma hawajielewi wanameza notisi tu ili wafaulu tu mitihani wapate digrii
Hahaaa Mind set mkuu,Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business adminstrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Tena unakuta ana GPA kali sanaHivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business adminstrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Nadhani kuna masomo ya hadi jinsi ya kuanzisha biashara kuandaa michanganuo na kadhalikaBusiness Administration siyo somo la biashara japo marketing imo Ila watu wengi wasichoelewa kinachofundishwa ni utawala ile department ya utawala yaani managerial ya kusimamia decision making, ndo maana wanasomea BA Wana perform vizuri wanapokuwa kwenye position za management Kama finance manager, HRM, Marketing Manager na nyingine za management, ni Kama mtu aliyesomea chuo cha CBE Kuna course tofauti na siyo kwamba unasomea jinsi ya kufungua biashara Kama wengi wanavyodhani.
Wewe ni mjinga sana, Na kwa akili yako unadhani ukiwa msomi unapaswa kuanza na biashara ya kuuza Magari.Inashangaza sana, ila kama unasoma uje kuanzisha genge la nyanya la 20,000 bora usiende kusoma uanze mapema kuliko kupoteza muda.
Anafundishwa sana au tuweke hapo content za kozi?Mtu anaesoma BA hafundishwi kuoperate biashara.
Jua hapo unazungumzia vitu viwili tufauti.
Hivi Bakhresa hayo mandazi anayauza kama wale wa mama wanaokaanga hapo mtaani kwenu? Biashara ya Bakhresa ya mandazi huenda ni mtaji mkubwa kuliko wa ukoo wenu mzima. Ile ni biashara ya chakula yenye uwekezaji mkubwa, hayo mandaazi yanasambazwa na magari, hiyo kampuni siyo kama hilo genge unalosema wewe.Wewe ni mjinga sana, Na kwa akili yako unazani ukiwa msomi unapaswa kuanza na biashara ya kuuza Magari.
Genge la nyanya ni biashara kikubwa ni una endesha vipi hilo genge? Bagharesa anauza mandazi ila kama angekuwa ni Graduate kaanza kuuza mandazi maneno yangekuwa mengi sana, hizi ndo akili zatu
Business Administration siyo somo la biashara japo marketing imo Ila watu wengi wasichoelewa kinachofundishwa ni utawala ile department ya utawala yaani managerial ya kusimamia decision making, ndo maana wanasomea BA Wana perform vizuri wanapokuwa kwenye position za management Kama finance manager, HRM, Marketing Manager na nyingine za management, ni Kama mtu aliyesomea chuo cha CBE Kuna course tofauti na siyo kwamba unasomea jinsi ya kufungua biashara Kama wengi wanavyodhani.
Shida ndo inakuja hapo, yaani wewe umesima unataka kufanya genge sawa na ambaye hajaenda shule?Genge unalochukulia poa mimi niliuza mwaka jana kipindi cha corona. Iko hivi, Waziri Mkuu alipofunga vyuo mimi nikakomaa ghetto ila kutokana na mishe zangu kutegemea sana wanachuo nikafeli somewhere na movement za watu mtaani zilipungua then mzunguko wa pesa ukawa doro sana.
Nikaenda home maza walifunga ofisi akawa ameweka genge maskani nikawa nauza. Tulipiga kama mwezi tukaamua tuachane nalo. Maza na mimi sote hatuko mbali sana na elimu ya biashara. Nikaja gundua kwa nini wauza genge huwa hawatoboi maisha. Wengi wanapata hela ya kujikimu, hakuna progress kabisa.
Kuna biashara zinafanywa na watu wasio na options kabisa. Wewe unamlipia mwanao ada miaka zaidi ya 10 ili aje kuuza nyanya za kubinyabinya mkononi?
Haijalishi anauza kwa njia ipi, ila leo hii anaweza hata anza kupika vitumbua na bado atauza, sasa sisi wasomi mwambie aanze kupika vitumbua kama hamjagombana.Hivi bakhresa hayo mandazi anayauza kama wale wa mama wanaokaanga hapo mtaani kwenu? Biashara ya Bakhresa ya mandazi huenda ni mtaji mkubwa kuliko wa ukoo wenu mzma. Ile ni biashara ya chakula yenye uwekezaji mkubwa, hayo mandaazi yanasambazwa na magari, hiyo kampuni siyo kama hilo genge unalosema wewe.
Kama unasoma uje kufungua genge 20,000 hiyo pesa ya kusoma bora uikusanye uanzishe genge mapema usipoteze muda. Unasikia wewe mwerevu?
Nyie ndo wale wale, Biashara ni Malengo sio kufuata mikumbo na sifa, Genge ni malengo mbona kuna wahindi wana magenge ya kuuza matunda na nyanya Arusha?Hivi bakhresa hayo mandazi anayauza kama wale wa mama wanaokaanga hapo mtaani kwenu? Biashara ya Bakhresa ya mandazi huenda ni mtaji mkubwa kuliko wa ukoo wenu mzma. Ile ni biashara ya chakula yenye uwekezaji mkubwa, hayo mandaazi yanasambazwa na magari, hiyo kampuni siyo kama hilo genge unalosema wewe.
Kama unasoma uje kufungua genge 20,000 hiyo pesa ya kusoma bora uikusanye uanzishe genge mapema usipoteze muda. Unasikia wewe mwerevu?
Nimekuuliza maana ulikurupuka, biashara ya mandazi ya bakhresa ni sawa na wamama wanaochoma mandazi mtaani kwenu?Haijalishi anauza kwa njia ipi, ila leo hii anaweza hata anza kupika vitumbua na bado atauza, saaa sisi wasomi mwambie aanze kupika vitumbua kama hamjagombana.
Hakuna biashara ya msomi na isio ya msomi ila wewe sasa kwa sababu umeenda shule onyesha tofauti,
Kwamba hata ntu akiletwa aseme hili genge ni la msomi na hili sio la msomi na kweli mtu anaona tofauti
Na yenyewe yana mitaji ya 20,000?Nyie ndo wale wale, Biashara ni Malengo sio kufuata mikumbo na sifa, Genge ni malengo mbona kuna wahibdi wana magenge ya kuuza matunda na nyanya Arusha?
Biashara ni unalenga nini na sio aina ya biashara, ndo shida ya masikini kwa masikini kupeana ushauri
Kwani unataka programmer atumie computer ngapi kuandika software? Na huyo bilgate alidrop out chuo, kama ninavyosema ukiona unataka anzisha genge la 20,000 anza mapema usipoteze muda kwenda kusoma chuo.Bill gates alianza na computer moja akaitumia kuandika software za Microsoft baadaye akaanza kuziuza
Computer moja imemfanya kuwa bilionea
Ujue watu wanazania ukiwa msomi basi kuna aina ya biashara hupaswi kufanya na hii ndo sababu Graduate wamejaa mtaani.Bill gates alianza na computer moja akaitumia kuandika software za Microsoft baadaye akaanza kuziuza
Computer moja imemfanya kuwa bilionea
Wewe pimbi mgumu sana wa kuelewa wewe msomi.Nimekuuliza maana ulikurupuka, biashara ya mandazi ya bakhresa ni sawa na wamama wanaochoma mandazi mtaani kwenu?