OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hata mimi nashangaa sana ..eti una bachelor ya business Administration halafu huna hata kabiashara cha kuzuga watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tofauti ya genge la mwenye mtaji na asiye na mtaji na si la graduate na asiye graduate, hii kasumba kuona graduate kama wanashushiwa pesa mbinguni tu wafanye wanachotaka itaisha liniShida ndo inakuja hapo, yaani wewe umesima unataka kufanya genge sawa na ambaye hajaenda shule?
Nina mtu ana genge lake ila yeye ana sambaza mahitaji, kwa watu, na kwa sasa pia kwenye genge lake kaanzs kwenda kuchukua ndizi na votu vingine na kuwasambazia wenye magene kwa sasa kanunua Guta,
Biashara ni Techinic sana sasa ukifanya tu ilimuladi lazima ile kwako,
Lazima kuwe na tofauti ya Genge la Graduate na Gengr la mtu ambaye hata shule hajaenda
Kwani business administration ndio wanasomaja ujarisiliamali na marketingSomo la ujasiria mali kwenye course ya business administration huwa wanafundisha la nini? Kuwapotezea muda au? Somo la marketing pia huwa wanasoma la nini?
mtizamo wako hauko sahihi unawaza tu compañy business administration unasahau personal business administration!!!! Au Famiñy business administration
Hoja km ameahindwa ku initiate na kumanage biashara elimu imemsaidiaje? Au kipaumbele akasimamie biashara zilizoanzishwa na wenzake na si kuwa na uwezo wa kuqnzisha biashara kutokana na mazingira?Business Administration siyo somo la biashara japo marketing imo Ila watu wengi wasichoelewa kinachofundishwa ni utawala ile department ya utawala yaani managerial ya kusimamia decision making, ndo maana wanasomea BA Wana perform vizuri wanapokuwa kwenye position za management Kama finance manager, HRM, Marketing Manager na nyingine za management, ni Kama mtu aliyesomea chuo cha CBE Kuna course tofauti na siyo kwamba unasomea jinsi ya kufungua biashara Kama wengi wanavyodhani.
Mbona fresh tu,ili mradi mkono unaingia kinywani.Classmates wakipita mitaa hiyo itakuwaje? Helmet Liwe vazi la office yake
we acha hizo mbona Billy Gate alianza na biashara ndogo sana na akafilisika na akarudia mara nyingi sana usipotoshe watu hata mbuyu unaanza kama mchichaInashangaza sana, ila kama unasoma uje kuanzisha genge la nyanya la 20,000 bora usiende kusoma uanze mapema kuliko kupoteza muda.
Eti ehwe acha hizo mbona Billy Gate alianza na biashara ndogo sana na akafilisika na akarudia mara nyingi sana usipotoshe watu hata mbuyu unaanza kama mchicha
Ni course gani inayofundisha Ku operate biashara? Hizo kampuni anazoenda kuwa meneja hazifanyi biashara?Mtu anaesoma BA hafundishwi kuoperate biashara.
Jua hapo unazungumzia vitu viwili tufauti.
Utadhani wenxio watampa pesa ya matumixi au wstamoa kazi? Acha wapigike watatafuta wenyewe magenge yalipo.Na ndio kinachosabanisha baadhi ya watu wanaacha kufanya kwa kuhofia wenzie watamuonaje tukianzia na wazazi.
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Acha kulinganisha elimu za watu na uchuuzi.Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Kumbe una uzii huu pia? Sasa mkuu, hapo wamesema business administration au business establishment?..Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Pia inaweza kuwa ni sababu ya weledi wa KitanzaniaKujiajiri ni kipaji