Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

Hata mimi nashangaa sana ..eti una bachelor ya business Administration halafu huna hata kabiashara cha kuzuga watu
 
Shida ndo inakuja hapo, yaani wewe umesima unataka kufanya genge sawa na ambaye hajaenda shule?

Nina mtu ana genge lake ila yeye ana sambaza mahitaji, kwa watu, na kwa sasa pia kwenye genge lake kaanzs kwenda kuchukua ndizi na votu vingine na kuwasambazia wenye magene kwa sasa kanunua Guta,

Biashara ni Techinic sana sasa ukifanya tu ilimuladi lazima ile kwako,
Lazima kuwe na tofauti ya Genge la Graduate na Gengr la mtu ambaye hata shule hajaenda
Naona tofauti ya genge la mwenye mtaji na asiye na mtaji na si la graduate na asiye graduate, hii kasumba kuona graduate kama wanashushiwa pesa mbinguni tu wafanye wanachotaka itaisha lini
 
Somo la ujasiria mali kwenye course ya business administration huwa wanafundisha la nini? Kuwapotezea muda au? Somo la marketing pia huwa wanasoma la nini?

mtizamo wako hauko sahihi unawaza tu compañy business administration unasahau personal business administration!!!! Au Famiñy business administration
Kwani business administration ndio wanasomaja ujarisiliamali na marketing

Mbona hata wengi
Je degree ya Entreperenuer na BBA ziko sawa?
Kwanini hayo masomo ya marketing na Entreperenuership yanataka mtu akisoma akimaliza akaanzishe biashara au ajiri mbona hata Degree ya marketing na procure wanasoma.hayo?

Ukita BBA ajiajiri akasome ujasiriamali kariakoo
We learn business by doing!
 
Business Administration siyo somo la biashara japo marketing imo Ila watu wengi wasichoelewa kinachofundishwa ni utawala ile department ya utawala yaani managerial ya kusimamia decision making, ndo maana wanasomea BA Wana perform vizuri wanapokuwa kwenye position za management Kama finance manager, HRM, Marketing Manager na nyingine za management, ni Kama mtu aliyesomea chuo cha CBE Kuna course tofauti na siyo kwamba unasomea jinsi ya kufungua biashara Kama wengi wanavyodhani.
Hoja km ameahindwa ku initiate na kumanage biashara elimu imemsaidiaje? Au kipaumbele akasimamie biashara zilizoanzishwa na wenzake na si kuwa na uwezo wa kuqnzisha biashara kutokana na mazingira?
 
Inashangaza sana, ila kama unasoma uje kuanzisha genge la nyanya la 20,000 bora usiende kusoma uanze mapema kuliko kupoteza muda.
we acha hizo mbona Billy Gate alianza na biashara ndogo sana na akafilisika na akarudia mara nyingi sana usipotoshe watu hata mbuyu unaanza kama mchicha
 
Ukifungua biashara yoyote, wewe jali unaingiza ngapi kwa siku, usisikilize maneno ya kukatisha tamaa.
 
Na ndio kinachosabanisha baadhi ya watu wanaacha kufanya kwa kuhofia wenzie watamuonaje tukianzia na wazazi.
Utadhani wenxio watampa pesa ya matumixi au wstamoa kazi? Acha wapigike watatafuta wenyewe magenge yalipo.
 
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?

Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20

Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?

Mitano tena.
 
Acha kulinganisha elimu za watu na uchuuzi.
 
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?

Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20

Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Kumbe una uzii huu pia? Sasa mkuu, hapo wamesema business administration au business establishment?..

Lengo la Business admn ni kuzalisha wasimamizi wa biashara......
Mfano :why engineers do not establish construction companies? Wakati these conpanies are owned by non engineers mostly!!!!!!

Kuwa na biashara hata wewe unaweza,uwe engineer uwe mwanafalsafa au mtu yoyote ,na biashara zipo za aina nyingi.

Business adminisyration ni kada ya kusimamia biashara na kuiendesha ipasavyo iliyoanzishwa tayari............biashara yenyewe kama yenywewe ni passion au nidhamu au practise ....ndio maana aliesoma Business Admn anaweza anzisha biashara ya Consulting ,sio mpaka auze nyanya...............biashara pia ni innovation au mawazo ......sio kusoma darasani.......

Tunasoma ili tuweze fanya vitu propertly na efficiently . To start a business is another issue.

Ndio maana hata HR manager anaweza pesa interwiew nae akachemka ...nae anaomba ajira kama wengine ...mganga hajigangi.

A call: kila mtu aangalie anachoweza kudeliver kibiashara ,BA experts pia inabidi wawe kipaumbele kuonesha mfano
 
Back
Top Bottom