Hivi inakuwaje mtu mpaka mdogo wako anakutangulia kuzaa? Ni dharau

Yeyote aendae kinyume na nature,basi waambie nature itawatafuna kama si kuwameza kabisa....

Law of King Sae 67:8
 
Hii comment hawezi kuijibu
 
Cha kwanza uache umbea! cha pili your life has to make sense only to yourself! Sio kila mtu ndoto zake ni kuoa, kuolewa au kuzaa!
 
Kumbe tupo wengi alafu tunavyo andamwa na maneno sasa mtaani hatari.. kila mtu n mipango yake bana..
 
Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana

Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5

Huu ni ujinga
Kuzaa sio sifa sana hasa Kwa kipindi kama huwezi hudumia na kuwaandalia maisha mazuri usiongeze mzigo Kwa wenzio
 
Yaani mdogo wako anakutangulia kuzaa aisee ni dharau sana

Wazee kuna mjinga mmoja hapa mtaani mdogo wake ana watoto wa 3, yeye hana hata mmoja aisee halafu kampita mdogo wake kwa miaka 5

Huu ni ujinga
Huyo bro ni Mimi, vipi tuzae we dada upo tayari
 
Wewe utakuwa ni mwalinu WA taaluma ahsante Kwa ujumbe bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…