Unajua hela anayoietengeneza mbunge kwa siku, alafu kuna watu wameajiriwa, ila ndani ya kazi kuna mishe, huangizia zaidi ya kiasi hicho kwa siku.Laki 5,000
100,000 x 5,000= 500,000,000/=
Ni kazi gani unapata 500,000,000 kwa siku ?
Kweli ni utoto, unamsumbua, kwa mawazo hayo.Hadi hapa nimejiridhisha kwamba u r too young to argue,huna experience yoyote na kujiajiri au kuajiriwa....if this is the case u'll take time ku achieve your goals once ukijiajiri na kwenda na attitude kama hii...hivi unajua kwamba ajira binafsi ndio ina shida zaidi hasa kwenye swala la muda na kujituma than ajira ya umma? ACHA UTOTO MWAMBIE SHEMEJI YAKO AKUTAFTIE KAZI YA KUFANYA MJINI USISHINDE HOME KULISHA BATA NA SUNGURA TU!
We ni chalamila nini!!?[emoji23][emoji857][emoji23][emoji857]
Mkuu umesoma uzi na kuuelewa vizuri? Au umejibu bila kusoma uzi.Kila mtu ajiajiri basi tuone kama hata viwanda vya matofali vutakuwepo
Biashara nyingi za watu ambao wanasimama peke yao hazidumu..kwani ukijiajiri lazima nawewe uajili watu wa kukusaidia kazi yako kwa bila wataalamu walio ajiliwa kwa jili ya insu zako za kujiajili huwezi piga kazi
sasa si bora hao, je sisi tunalinda mageti ya watu kwa miaka 30 na ushee je?Habari za Leo wakuu,
Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.
Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?
Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.
Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.
Wakuu hebu tujadili hii mada. Inakuwaje unaishi kwa kutumwa kwa miaka mitano?
Waajiriwa mlio maofisini hapa mtajibaraguza sana lakini hii mada inawahusu njooni mtolee maelezo huku.
Kwanini mnakaa kwenye ofisi za watu kwa zaidi ya miaka mitano.
Mkistaafu au kutumbuliwa ndio mnaanza kukumbuka shuka la kujiajiri na huku muda wenu wote, nguvu yenu yote na akili yenu yote mmemalizia kwenye ofisi za watu.
Wengi wanaweza wasikuelewe lakini Kuna point kubwa kwenye post yako hasa kwa wale wenye kamshahara kiduchu.Habari za Leo wakuu,
Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.
Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?
Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.
Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.
Wakuu hebu tujadili hii mada. Inakuwaje unaishi kwa kutumwa kwa miaka mitano?
Waajiriwa mlio maofisini hapa mtajibaraguza sana lakini hii mada inawahusu njooni mtolee maelezo huku.
Kwanini mnakaa kwenye ofisi za watu kwa zaidi ya miaka mitano.
Mkistaafu au kutumbuliwa ndio mnaanza kukumbuka shuka la kujiajiri na huku muda wenu wote, nguvu yenu yote na akili yenu yote mmemalizia kwenye ofisi za watu.
Kwahiyo Wanatengeneza milion 500 kwa sikuUnajua hela anayoietengeneza mbunge kwa siku, alafu kuna watu wameajiriwa, ila ndani ya kazi kuna mishe, huangizia zaidi ya kiasi hicho kwa siku.
Kwani wanafanya bure?.Habari za Leo wakuu,
Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.
Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?
Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.
Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.
Wakuu hebu tujadili hii mada. Inakuwaje unaishi kwa kutumwa kwa miaka mitano?
Waajiriwa mlio maofisini hapa mtajibaraguza sana lakini hii mada inawahusu njooni mtolee maelezo huku.
Kwanini mnakaa kwenye ofisi za watu kwa zaidi ya miaka mitano.
Mkistaafu au kutumbuliwa ndio mnaanza kukumbuka shuka la kujiajiri na huku muda wenu wote, nguvu yenu yote na akili yenu yote mmemalizia kwenye ofisi za watu.
hv kuna la kusema tena baada ya comment hii?!!!!!Kwanza kabisa, hakuna mtu anayefanya kazi zake.
Hata ukiwa na biashara yako, utafanya kazi za wateja wako.
Hivyo, na wewe pia umeajiriwa na hao wateja wako.
Tusiangalie mambo kwa tafsiri finyu ya juu juu tu.
Pia, watu wasingekaa ofisini kufanya kazi za watu wengine, hata wewe usingeweza kupost kitu hapa JF kujifaragua.
Kwa sababu JF inaendeshwa na watu wengi tu walioajiriwa wakakaa ofisini kufanya kazi za watu.
Wazushi utawaweza basi?hv kuna la kusema tena baada ya comment hii?!!!!!
Siku zote akina Bakhresa, Gharib, Mengi, Bill Gates nk watakuwa wachache lakini wataajiri mamilioni.Habari za Leo wakuu,