Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

Laki 5,000

100,000 x 5,000= 500,000,000/=

Ni kazi gani unapata 500,000,000 kwa siku ?
Unajua hela anayoietengeneza mbunge kwa siku, alafu kuna watu wameajiriwa, ila ndani ya kazi kuna mishe, huangizia zaidi ya kiasi hicho kwa siku.
 
Hadi hapa nimejiridhisha kwamba u r too young to argue,huna experience yoyote na kujiajiri au kuajiriwa....if this is the case u'll take time ku achieve your goals once ukijiajiri na kwenda na attitude kama hii...hivi unajua kwamba ajira binafsi ndio ina shida zaidi hasa kwenye swala la muda na kujituma than ajira ya umma? ACHA UTOTO MWAMBIE SHEMEJI YAKO AKUTAFTIE KAZI YA KUFANYA MJINI USISHINDE HOME KULISHA BATA NA SUNGURA TU!
Kweli ni utoto, unamsumbua, kwa mawazo hayo.
 
Vitu vingine kukaa na kubishana ni kupoteza nguvu tu,acheni mtoa mada aamini anachoamini...na kumbuka hachangii hata theluthi katika kuendesha maisha ya walioajiriwa.Waajiriwa chapeni kazi mzidi kusonga mbele.
 
kwani ukijiajiri lazima nawewe uajili watu wa kukusaidia kazi yako kwa bila wataalamu walio ajiliwa kwa jili ya insu zako za kujiajili huwezi piga kazi
Biashara nyingi za watu ambao wanasimama peke yao hazidumu..

Dunia imebadilika, unahitaji kupata new inputs katika shughuli zako otherwise utapoteza mvuto kwenye soko.

Haiwezekani kufikisha miaka 30 kwenye shughuli za kujiajiri bila kuwa na inputs kutoka kwa watu mbalimbali ndiyo maana watu wengi waliojiajiri kizembe kama unavyofikiri wakifikisha miaka 50 maisha yao ni magumu sana ukilinganisha na wa umri wao waliokuwa waajiriwa.
 
Habari za Leo wakuu,

Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.

Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.

Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.

Wakuu hebu tujadili hii mada. Inakuwaje unaishi kwa kutumwa kwa miaka mitano?

Waajiriwa mlio maofisini hapa mtajibaraguza sana lakini hii mada inawahusu njooni mtolee maelezo huku.

Kwanini mnakaa kwenye ofisi za watu kwa zaidi ya miaka mitano.

Mkistaafu au kutumbuliwa ndio mnaanza kukumbuka shuka la kujiajiri na huku muda wenu wote, nguvu yenu yote na akili yenu yote mmemalizia kwenye ofisi za watu.
sasa si bora hao, je sisi tunalinda mageti ya watu kwa miaka 30 na ushee je?
 
Mkuu kazi zote tunazofanya tunafanya kwa ajili ya wengine, haijalishi umejiajiri au umeajiriwa........hatuishi kwa ajili yetu wenyewe bali kwa ajili ya wengine, ukishaelewa hili hutasumbua sana kichwa.
 
Habari za Leo wakuu,

Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.

Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.

Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.

Wakuu hebu tujadili hii mada. Inakuwaje unaishi kwa kutumwa kwa miaka mitano?

Waajiriwa mlio maofisini hapa mtajibaraguza sana lakini hii mada inawahusu njooni mtolee maelezo huku.

Kwanini mnakaa kwenye ofisi za watu kwa zaidi ya miaka mitano.

Mkistaafu au kutumbuliwa ndio mnaanza kukumbuka shuka la kujiajiri na huku muda wenu wote, nguvu yenu yote na akili yenu yote mmemalizia kwenye ofisi za watu.
Wengi wanaweza wasikuelewe lakini Kuna point kubwa kwenye post yako hasa kwa wale wenye kamshahara kiduchu.
 
Unajua hela anayoietengeneza mbunge kwa siku, alafu kuna watu wameajiriwa, ila ndani ya kazi kuna mishe, huangizia zaidi ya kiasi hicho kwa siku.
Kwahiyo Wanatengeneza milion 500 kwa siku
 
Habari za Leo wakuu,

Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.

Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.

Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.

Wakuu hebu tujadili hii mada. Inakuwaje unaishi kwa kutumwa kwa miaka mitano?

Waajiriwa mlio maofisini hapa mtajibaraguza sana lakini hii mada inawahusu njooni mtolee maelezo huku.

Kwanini mnakaa kwenye ofisi za watu kwa zaidi ya miaka mitano.

Mkistaafu au kutumbuliwa ndio mnaanza kukumbuka shuka la kujiajiri na huku muda wenu wote, nguvu yenu yote na akili yenu yote mmemalizia kwenye ofisi za watu.
Kwani wanafanya bure?.
 
Kwanza kabisa, hakuna mtu anayefanya kazi zake.

Hata ukiwa na biashara yako, utafanya kazi za wateja wako.

Hivyo, na wewe pia umeajiriwa na hao wateja wako.

Tusiangalie mambo kwa tafsiri finyu ya juu juu tu.

Pia, watu wasingekaa ofisini kufanya kazi za watu wengine, hata wewe usingeweza kupost kitu hapa JF kujifaragua.

Kwa sababu JF inaendeshwa na watu wengi tu walioajiriwa wakakaa ofisini kufanya kazi za watu.
hv kuna la kusema tena baada ya comment hii?!!!!!
 
Habari za Leo wakuu,

Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.

Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.

Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.

Wakuu hebu tujadili hii mada. Inakuwaje unaishi kwa kutumwa kwa miaka mitano?

Waajiriwa mlio maofisini hapa mtajibaraguza sana lakini hii mada inawahusu njooni mtolee maelezo huku.

Kwanini mnakaa kwenye ofisi za watu kwa zaidi ya miaka mitano.

Mkistaafu au kutumbuliwa ndio mnaanza kukumbuka shuka la kujiajiri na huku muda wenu wote, nguvu yenu yote na akili yenu yote mmemalizia kwenye ofisi za watu.
Siku zote akina Bakhresa, Gharib, Mengi, Bill Gates nk watakuwa wachache lakini wataajiri mamilioni.
Anayejiajiri atafika mahali ataajiri wengine.
Una maana mtu akiajiriwa miaka mitano aondoke kwenye ajira?
 
Sasa wote wakijiajiri kazi nyingine zitafanywa na nani? Kumbuka ili maisha yawe na uwiano lazima kuwe na mgawanyo wa kazi. Ni ufinyu wa akili kuona waloajiriwa wanapoteza muda na waliojiajiri ndiyo wanafaidi.
Kuna walioajiriwa wana maisha mazuri kuliko waliojiajiri.

Tusikariri maisha kuwa watu wote wafuate mwelekeo mmoja wa maisha.
 
Kweli hii nchi haitaendelea..zero brain bado ni wengi mno..

Hivi wewe kwa akili zako hizo unahisi kuna mtu anafanya kazi zake?hata ukilima michicha na ukauza hapo tayari umefanya kazi ya mtu mwingine na anaponunua maana yake anakulipa...ukifungua duka rejareja mtaani maana yake unawafanyia watu kazi zao badala wahangaike kwenda mbali kufuata hiyo bidhaa wewe umewasogezea hivyo umefanya kazi yao
 
Unaweza ukawa uko sawa na pia unaweza kuwa hauko sawa.
Sio kila mtu duniani ana kipaji cha kujiajiri.Wote tukijiajiri nani atafanya kazi serikalini na kwenye sekta binafsi.Mo Dewji ana watoto na dada zake wote ni waajiriwa kwenye makampuni yake na hata Mo Dewji mwenyewe sisi tumemuajiri bila sisi tukisusia biashara zake hapati kitu.
Mungu ametuumba binadamu kutegemeana mfano wewe ukiwa na gari yako unakwenda kuosha muoshaji anakutegemea wewe na wewe unamtegemea yeye maana huwezi kuosha gari.Watu walio na mabasi wanategemea watu wasio na usafiri wayapande ndio wao wapate maisha kila mtu akiwa na gari mwenye mabasi atapata wateja wapi.Na bila mwenye basi wasio na mabasi watasafirije.
Wewe kama ulifanya kitu ukafanikiwa baada ya kuacha kazi sio kila mtu akiacha atapata mafanikio kama yako.Proffesor wa chuo kikuu anayefundisha business strategy yaani mbinu za biashara ukimfungulia duka linakwisha baada ya miezi miwili tena unaweza kuta hawezi kuendesha hata kibanda cha nyanya ndio maisha yalivyo.
Yaani flani aache kazi yake ya kuajiriwa anapata 30m kwa mwezi kisa tu afuate ushauri wako? huu ni utopolo.Kwani akiendelea kuajiriwa anapata zaidi na hapo hapo hiyo miradi anaifungua haiwezekani?.
Kuna muheshimiwa mmoja nchi hii alisemaga akili za kuambiwa changanya na zako hapa ndio mahali pake namuunga mkono kwa kauli yake.Kiukweli hujatoa wazo baya ila sio kila ushauri unaambiwa unaufuata unajipima mwenyewe.
Mimi nilishaona mtu alijaza formu aache kazi mahali flani ili apate mafao yake ya mkupuo miaka mitano iliyopita sasa hivi ukikutana naye anaongea mwenyewe kama kichaa take care
 
Umefungua genge la nyanya unakuja kutuchamba humu eeh[emoji16]
 
Umefungua genge la nyanya unakuja kutuchamba humu eeh[emoji16]
 
Back
Top Bottom