Salaam, Shalom!!
Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.
Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa,
Jambo lililonishtua zaidi ni tukio la kujinyonga Askofu Dodoma, tena ndani ya nyumba ya Ibada,kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari.
Nijuavyo Mimi Rabbon, Ili mtu ajinyonge, lazima avamiwe na Pepo wa MAUTI atakayemuongoza kufanya kitendo hicho bila ridhaa yake.
Swali LANGU ni kuwa, Askofu, mtumishi wa Mungu, anayeongozwa na Roho wa Mungu, anayewatia moyo waumini waliovunjika moyo daily, awezaje kuamua kujinyonga?
Source: Millard Ayo, Askofu ajinyonga Dodoma.
Karibuni 🙏.