kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Kama bei gani?Hakuna linaloshindikana hapa mjini.. andaa pesa.
HaiwezekaniHello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani ingekua poa zaidi.
Asanteni.
Haiwezekani msajili wa ndoa ni mwanasheria kwa muktadha wa ndoa lazima ifuate taratibu zote za kisheria issue sio hela tuHello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani ingekua poa zaidi.
Asanteni.
Kwa nini?Haiwezekani
Hiyo ndoa utafunga mwenyewe? Ukitafuta dalali wa kuungana nae ili mfanye utapeli wa ndoa itakuaje huyo tapeli akiamua kukung'ang'ania kama mke mliefunga ndoa?Hello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani ingekua poa zaidi.
Asanteni.
Ok poaHaiwezekani msajili wa ndoa ni mwanasheria kwa muktadha wa ndoa lazima ifuate taratibu zote za kisheria issue sio hela tu
Mwone karani wa DC, submit jina lako na jina la fictitious/imaginary wife, atakufungisha ndoa in her "absentia" na unapata cheti halali ambacho kimeshaunganishwa na NIDA 😎Hello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani ingekua poa zaidi.
Asanteni.
Tena wako wengiHiyo ndoa utafunga mwenyewe? Ukitafuta dalali wa kuungana nae ili mfanye utapeli wa ndoa itakuaje huyo tapeli akiamua kukung'ang'ania kama mke mliefunga ndoa?
Si uende tu bomani hapo chap ukaoe?Kwa nini?
Mbona leseni za driving watu wanazo na hawajui kuendesha magari?
Hiyo ndoa utafunga mwenyewe? Ukitafuta dalali wa kuungana nae ili mfanye utapeli wa ndoa itakuaje huyo tapeli akiamua kukung'ang'ania kama mke mliefunga ndoa?
Usipokua makini utatengeneza doa kubwa kwenye maisha yako yote
Akaolewe labda. Maana huu mwandiko ulivyokaa ni kama 🌈Si uende tu bomani hapo chap ukaoe?
Kuna database ya ndoa siku hizi. Ambayo inatunza kumbukumbu za NDOA nchi nzima. Akijichanganya kwa Changu afunge nae ndoa ndio mke tayari na ana Haki zote za mke ikiwamo matunzo, Mali zako n.k Unless uanze process ya divorce ambayo nayo ni ndefuKama dili ya hela nyingi nenda hata buguruni au sinza ongea na pisi yoyote ipe hela nendeni bomani mtapata