Hivi inawezekana kupata cheti cha ndoa pasipokufunga ndoa?

Hivi inawezekana kupata cheti cha ndoa pasipokufunga ndoa?

Bongo hata cheti cha degree unapata itakua cha ndoa?


Mdogo angu yupo kwenye taasisi moja ya ulinzi akapata nafasi ya kwenda nje kulinda Amani na alikuwa anasoma diploma ya BA chuo kimoja tena cha serikali pwani, nikamuuliza vipi kuhusu kisomo akasema nimeshamaliza kila kitu me nikiludi nakuta cheti changu nikamuuliza cheti bila kufanya mtihani wa mwisho, alichonijibu nilishangaa sana alisema bro hakuna kisichowezekana mbele ya pesa 😂


Hi Ndio bongo
 
Back
Top Bottom