Hivi inawezekana kupata cheti cha ndoa pasipokufunga ndoa?

Andika talaka kabisa.
yeye unaefunga nae ndoa ya gelesha
Ko msainishe kabisa hiyo talaka mbele ya mwana Sheria ... Ibakie sehem yako tu kuisain ...
Yani Siku kikinuka unadondosha tu wino taraka inakamilika.

Case closed.
 
Kazi ndogo yu hiyo nitafutie M1 moja tu chapu nakutengenezea.
 
Dili ndiyo hilo, tafuta mjane mkafunge ndoa kwa makubaliano
 
Inawezekana kabisa na unapata cheti toka RITA kabisa bila kwenda kanisani wala msikitini wala bomani.
NB:
Inakuwa registered ndoa kiukweli,kama ni kwa ajili ya mchongo tu,ukimaliza mchongo anza process za divorce,sababu utakuwa kwenye database na kama ni ndoa ya mke mmoja huwezi kuoa kiukweli sasa hadi u divorce hii ya magumashi.
Mwaka jana imefanyika hii,dogo wa rita alikula 500k chap siku mbili gamba mezani,mwana akala visa chap akaja mamtoni na wife
 
Naona umechoka kula ugali wa mtaani, na sasa unataka kwenda kula ugali wa mahabusu kupitia hiyo fogery yako unayotaka kuifanya.
 
Cheti cha ndoa nicha serikali hao wanaofungisha ndoa wanafanya kwa niaba ya serikali
 
Hiyo ndoa utafunga mwenyewe? Ukitafuta dalali wa kuungana nae ili mfanye utapeli wa ndoa itakuaje huyo tapeli akiamua kukung'ang'ania kama mke mliefunga ndoa?

Usipokua makini utatengeneza doa kubwa kwenye maisha yako yote
🀣🀣🀣
 
Unaweza,nenda stationery yoyote waambie wakutengenezee halafu uchongee mihuri ugonge uweke ndani
 
Kama unaweza pata tendo la ndoa bila kuoa unashindwa vipi kupata cheti cha ndoa bila kuoa?
 
Love connect kuna msaada wa chap, sharti andika anaepumua! We jifanye sitaki singo maza, sjui bikra, under 30 utasubiri sana.. narudia sharti weka ANAEPUMUA na awe na NIDA.
 
Kuna database ya ndoa siku hizi. Ambayo inatunza kumbukumbu za NDOA nchi nzima. Akijichanganya kwa Changu afunge nae ndoa ndio mke tayari na ana Haki zote za mke ikiwamo matunzo, Mali zako n.k Unless uanze process ya divorce ambayo nayo ni ndefu
Bora uwakumbushee kabisaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi hii kitu asingeweza kufanya na ndugu yake kweli... (tukiondoa imani na miiko)

Maana hiyo ingekuwa easy kui_divorce
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…