Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

tatizo mtapishana kwenye sifa...yaani ulizonazo wewe yeye sio azipendazo.....ila usife moyo endelea kuchagua..huku ukiwa unakumbuka na umri wako......[emoji1] [emoji1]
 
Inawezekana, wewe tu!
 
Umba wa kwako kama vipi!!!!maana anaweza akapatikana wa sifa hizo na akawa na mapungufu Mengine,cha kufanya ni kumoata anayekuja na tabia mtarekebishana ktk ndoa na hatimaye mtaendana kabisa.
 
Umba wa kwako kama vipi!!!!maana anaweza akapatikana wa sifa hizo na akawa na mapungufu Mengine,cha kufanya ni kumoata anayekuja na tabia mtarekebishana ktk ndoa na hatimaye mtaendana kabisa.
Umeanza na jibu baya ila malaika akakushika mkono ukamalizia vizuri aminaahsante.
 
Tuma basi ata kapicha jmn mana sifa izo watu wapo tukuone ukoje mana wengine tukiona body yako basi na tabia zako tutazijua na kujifunza kuzizoea
 
Ukishakua nazo wewe hizo sifa basi utampata wa sifa hizo
 
Mke wa mtu sumu ila mme wa mtu maziwa, je hizo sifa unazo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…