Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Yaan utapata yeyote tu halaf utambadilisha wewe
 
Uzoefu wangu unanionesha wasichana wabaya kimuonekano hupenda kuchagua kwa sababu wao wenyewe hawavutii.
 
Je wewe ni msafi au?
 
Njoo huku katolo nikuoe mm nina pesa nying na dushele la mwendokas cna haja ya kwenda kazin ni kukusugua tu mpaka serikal iingilie kat
 
Am sure umri wako ni chini ya miaka 24, ngoja umri wako usogee kidogo utapunguza tuu hvyo vigezo kwa sabab hakutakuwa na namna 🙂 🙂
 
mimi ninavyo hivyo vigezo bt ni mweupe na ni mwarabu asili yangu ni Oman katika mji wa Manah , lakin wewe nawe utaweza vigezo vyangu maana hapa usivutie upande wako tu na mimi nina moyo ujue
 
Muombe mungu tu umpate wa kufanana na wewe.unaweza umpate wa hizo sifa unazozitaka lakini ukute yalimo ndani hayamo...
 
Unajua kila mtu ni mrefu... u need to specify.
Ulishawahi kusikia mtu anasema nina ufupi wa sm 120???
 
Hakuna kisichowezekana kama kweli ukiweka nia ya kutafuta...... mungu aliumba watu tofauti na tuko tofauti # sifa zote ninazo kama uko tayar tuanzishe gurudumu la mapenzi karibu PM me
 
Daa vigezo vyote ninavyo kasoro cha kupenda ndogo. ...sa sijui tufanyeje apo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…