Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Omba upate mtu empty set ili ukaanze wewe kumtia hizo tabia zako unazozitaka akikuelewa utakuwa umepata unachotaka.... lah hakuna mwanaume aliyezaliwa kwa ajili yako so sio rahisi kuwa na sifa zote hizo!
 
Ndio Unaweza kumpata naye ni YESU, alikuwa mrefu,alikuwa mrefu, alikuwa c mchoyo, alikuwa hapendi ndogo,hakuwa na maringo
Jamani hiyo ndogo mliyo manisha poleni mie nilimanisha awe anapenda ndugu poleni kwa wapenda ujinga.
 
Ni pm chap chap
 

Mungu anajua what is best for you and not you, anaweza kukupa asiye na yote hayo ila ukampenda balaa, Omba Mungu for the right person and sio kumpa Mungu vigezo vyako!
 
mm ninazo ila napenda ndogo mara chachechache
 
Haumtaki daimond hau kiba maana kila mwanamke stori ni hao sasa sisi wenye hizo sifa tumeuchuna mbaka muanze kutuambia nyie wenyewe kama mnatupenda
 
Halafu we mleta thread njoo na ile id yako uliyo kuja nayo ukiomba ushauri kwenye jukwaa la doctor, Kuhusu dawa ya chunusi

Au ile ambayo uliyo tumia kuandika kutafuta mchumba
 
Weka sifa zako kwanza zikifatana na picha.... 24/7 utakuwa naye ndani
 
Okay fine naomba namba yako ya whatsapp, lakini nawewe ni mweusi.?
 
Weka sifa zako kwanza zikifatana na picha.... 24/7 utakuwa naye ndani
Mwambie aje na id yake ya siku zote!

Alisha kuja na id nyingine akataja sifa zake akitafuta mwanaume naona ili buma kaja kwa style hii
 
ahaaaaaa hizo sifa kila mwanamke angependa ampate mwanaume wa hivyo ila mie ningependa pamoja na hivyo huyo mwanaume asikose vigezo hivyo

1.akupende
2. msafii
3. mama yake akupende

n.b sioni raha kuishi na mwanaume anaekosa vigezo hivyo.
 
DU! hizo sifa zote ninazo lkn sijui wewe ulivyo maana huo ni upande mwingine wa filimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…