Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

ahaaaaaa hizo sifa kila mwanamke angependa ampate mwanaume wa hivyo ila mie ningependa pamoja na hivyo huyo mwanaume asikose vigezo hivyo

1.akupende
2. msafii
3. mama yake akupende

n.b sioni raha kuishi na mwanaume anaekosa vigezo hivyo.
Nimefrahi sana congrats
 
Niko hapa
Umepata
 
Jamani hiyo ndogo mliyo manisha poleni mie nilimanisha awe anapenda ndugu poleni kwa wapenda ujinga.
Ww ndio mpenda ujinga maana umeandika mwenyewe ndogo halafu unasema ndugu na huyo bwana utampata tu
 
Unachopenda kipo. Na kukipata we fanya hayo hayo kwa mwenzako yatakurudia. Otherwise it is next to impossibility
 
Unaweza kupata, lakini ndogo lazima atake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…