Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

Wapo ila ni wachache sana. Hasa wale wasio na elimu na wana ushamba fulani hivi. Yule mke wa ''askofu'' Gwajima unamjua? Huyu anaweza kuwa mmoja wapo. Hata yule wa mwendazake anaweza kuwa alikuwa hivyo.
Kuna baadhi ya mikoa ukiishi.. hizi Mambo ziko normal kabisa..

Wabara ndo wanahisi Mambo maguumuuu...

Twendeni kusini.
 
Akifikia hapo ujue amekuchoka...hana hata chembe ya hisia kwako...uwepo usiwepo kwake ni sawa tu.
Mnaweza kukaa hata zaidi ya two wks hamja nyanduana na akaona ni sawa

hatua hii cyo ya kuifurahia mwanaume, ni hatari kwa afya yako
 
Vijana wengi wanalazimisha ndoa ili kupata social validation, hapo sidhani kama kuna ndoa, ni pesa tu ndio zinaleta amani hapo, jichanganye ufilisike ndio utaona rangi halisi za huyo uliyemuweka ndani na huyo wa huko nje
Ndoa..
Kidini Ni kuhalalisha tendo.
Kama huna ndoa inaitwa muasherati,...

Jamii inakutenga..kabisa linakutenga na hata ndugu...

Mwisho, kuwaridhisha Hawa walokutenga unapanik kipumbavu... Unaoa kijinga..
 
Ndoa..
Kidini Ni kuhalalisha tendo.
Kama huna ndoa inaitwa muasherati,...

Jamii inakutenga..kabisa linakutenga na hata ndugu...

Mwisho, kuwaridhisha Hawa walokutenga unapanik kipumbavu... Unaoa kijinga..
Hivi adam na hawa/eve walihalalisha ndoa yao wapi?? ama walikuwa waasherati tu??
 
Back
Top Bottom