Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi ya mikoa ukiishi.. hizi Mambo ziko normal kabisa..Wapo ila ni wachache sana. Hasa wale wasio na elimu na wana ushamba fulani hivi. Yule mke wa ''askofu'' Gwajima unamjua? Huyu anaweza kuwa mmoja wapo. Hata yule wa mwendazake anaweza kuwa alikuwa hivyo.
Vijijini mbona ni mambo ya kawaida? Kwa mfano wasukuma wanawake wa vijijini wana nidhamu sana. Ila hawa wa Tik tok wanaoishi Dar na miji mikubwa hapana.Kuna baadhi ya mikoa ukiishi.. hizi Mambo ziko normal kabisa..
Wabara ndo wanahisi Mambo maguumuuu...
Twendeni kusini.
Bas we jua tu na yeye anapakuliwa na mwamba huko njeNijaribu Nini ilhali Naishi from experience...
Labda naye anachepuka kimya kimya😃Yaani mwanamke anyamaze, thubutu
Labda wachepuke kwa step lest waleteane magonjwa wabaki wakinyosheana vidole na kutupiana lawama.Wananyamaza...
Na wanatuchoora tu...
BUt why worryin?Should I care... As long as she is happy...
Ndoa..Vijana wengi wanalazimisha ndoa ili kupata social validation, hapo sidhani kama kuna ndoa, ni pesa tu ndio zinaleta amani hapo, jichanganye ufilisike ndio utaona rangi halisi za huyo uliyemuweka ndani na huyo wa huko nje
Swali zuri sana......kihoro cha nini sasa kama hujali[emoji1787]BUt why worryin?
Hivi adam na hawa/eve walihalalisha ndoa yao wapi?? ama walikuwa waasherati tu??Ndoa..
Kidini Ni kuhalalisha tendo.
Kama huna ndoa inaitwa muasherati,...
Jamii inakutenga..kabisa linakutenga na hata ndugu...
Mwisho, kuwaridhisha Hawa walokutenga unapanik kipumbavu... Unaoa kijinga..