Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

Elimu na maarifa ndo utajiri wenyewe huo ikiwa MTU utapata chocho la kusoma soma Sana . mambo ya Ajira na Pesa ni mambo madogo Sana kuyapata.
 
mkishashiba na mavitambi yenu mnajijambia tu mnakua motivational speakers.
 
We waache wambeze mtoa mada.
 

Huwezi kumpangia mtu asome mpaka level gani na wakati gani kwa sababu haulipi ada wewe wala hayo maarifa hayana uhusiano na wewe.
 
Well spoken
 
Reactions: Tsh
Kwa elimu gani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hiihii ya hapa !! Wanasomaga kufaulu mitihani hapo unaelimikia wapi Yani!

Mtoa mada ana hoja
Hapo unakosea ndugu unasema elimu yakufaulu mitihani sio,ngoja nikuulize swali dogo,tu je umewahi tembelea hospitals Kwa shida yoyote yakiafya? ukatibiwa na ukapona? Au ndugu yako? Sasa wale waliokutibu walisoma hizo elimu unazo zizarau za kufaulu mitihani.inawezekana wewe hauna kichwa Cha kubeba material,waache wenzio wasome.
 

Ana hasira na wenye degree [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusoma master's degree wakati huna kazi Wala biashara ni uoga wa maisha tu wala hakuna kingine.Confucius aliwahi kuulizwa ; watu wameongezeka Sana nchini( china) serikali iwafanyie nini? Confucius akajibu,enrich them! Wakamuuliza baada ya kuwapa mali akajibu educate them,wakamuliza what next akajibu security.kumbe mali ni Bora kuliko elimu na hili liko wazi Wewe jaribu kwenda nyumbani na master's yako huna hata Hela ya vocha uone kama hujatumwa na mdogo wako umfatie vocha dukani ili nawewe upate vocha!
 
We fala tu watu wanasoma kuelimika sio kuajiriwa
Kwa maisha yetu haya ya kiafrika?!! Haupo serious kwenye mambo ya msingi!! Huyo prof. Mwenyewe wa kiafrika akipigwa chini kazini analia, kwani akili yake ni kwenye kuajiriwa sembuse master's holder?
 


Lakini kuna wenye masters na wana kazi nzuri?
 
Shahada ya umahiri❌
Shahada ya uzamili✔
Wewe unaye msahihisha ndio umekosea, Master degree ni Shahada ya Umahiri. Shahada ya uzamili ni shahada nyingine unayosoma baada ya Shahada ya kwanza. Mfano mtu mwenye degree ya sheria akasome degree ya Sayansi ya siasa

Shahada za uzamili yani postgraduate degree ina jumuisha Postgraduate diploma (stashahada ya Uzamili, Master degree (Shahada ya Umahiri) na PhD (shahada ya Uzamivu)
 
Kapitie upya nondo zako then urudi tena. Ukishindwa unaweza kugoogle pia.
Asante🙏
 
Shahada ya umahiri❌
Shahada ya uzamili✔
Wewe unayemsahihisha ndio umekosea, Master degree ni Shahada ya Umahiri. Shahada ya uzamili ni shahada nyingine unayosoma baada ya Shahada ya kwanza. Mfano mtu mwenye degree ya sheria akasome degree ya Sayansi ya siasa

Shahada za uzamili ni postgraduates ambazo ina jumuisha bachelor
Kapitie upya nondo zako then urudi tena. Ukishindwa unaweza kugoogle pia.
Asante🙏
Wewe ndio uje na ushahidi kuonesha mimi sitegemei maarifa ya kugoogle kila kitu. Master degree ni Shahada ya Umahiri ndio kiswahili sanifu.
 
Sawa mtaalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…