Hivi ingekuwaje 2015 kama tusingempata Hayati Magufuli kwa nchi ilipokuwa imefikia?

aisee kumbe
 
Maisha yangekuwa Ni [emoji481][emoji512][emoji594][emoji594][emoji594][emoji597]
 
Kwani aliiacha nchii kwenye hali gani?
 
Uchumi na demokrasia ndio maisha yenyewe ya wananchi kama aliharibu hayo hakuna alichofanikiwa.
 
Maisha yange kuwa kawaida tu kama ilivyo
 
Pole. JPM alitutoa kwenye mwanga na kutuweka gizani. Kumbuka; mazuri aliyofanya binadamu huzikwa nayo mifupani mwake na mabaya hushamiri na kukumbukwa daima.
Elimu yako ni potofu na ya kichawi. Binadamu hukumbukwa kwa mema na mabaya.
 
Yani unakubali tulikuwa tunahitaji rais dikteta, halafu unasema JPM aliharibu democracy.

Mbona kama unajipinga mwenyewe?
Hao ndio vijana wa Tanzania, anajichokonoa mattercone halafu ananusa
 
Tanzania ni kubwa na watanzania ni wengi hivyo vipaumbele vya Magu ni kfunika kombe mwanaharamu apite,na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…