kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
We acha hizo! Kikwete! Umesahau yaliyokuwa yakifanyika nchi hii? Au unaangalia watu walivyoiba na kujenga magorofa ndo unadhani zingekuwa mali ya serikali? Nchi ilikuwa inakusanya bilioni 800 kwa mwezi yaani trioni 9 kwa mwaka. Hiyo ingekuondoaje kwenyeskini?
Huyo hakuwa rais.
Bora kiduchu chenye faida ktk nchi nzima kuliko kingi kisicho na faida kwa nchi nzima, bali kina faida sehemu ndogo tu ya nchi (Chato).
Takwimu za nadharia kumfurahisha mwendazake je hayo makusanyo ya mwendazake yalifanya nini miaka mitano watu bila ajira,maisha ya shida,biashara kuyumba,wafanyakazi kutopandishwa madaraja,huoni kuwa mwendazake ni mwizi namba one Tanzania.
WALOLA VUNZYA tuko pamoja.