Hivi itakuaje kama JUA ndio jehanamu / ziwa liwakalo moto?

Nadhan suala ni kujikubali tu kwamba utabanikwa at the end of the day...so iwe kwa jua au kwa moto vyote sio ishu
 
Bila Jua, duniani hakuna maisha. Sasa kama Jua lina mwisho, hata dunia ina mwisho pia.
 
Mkuu sisi wa nchi za matakoni tutaweza kweli izo universal transfer kweli akati hatuna lab za kitaalamu kama nasa tukinunua ndege mpaka wachungaji wakaombee je izo space ship itakuaje
 
Jua ndio asili ya maisha hapa duniani jehenam imetoka wapi? Naona jua ndie MUNGU halisi
 
Bila Jua, duniani hakuna maisha. Sasa kama Jua lina mwisho, hata dunia ina mwisho pia.
Jua lina mwisho, dunia (earth) ina mwisho.

Jua ni nyota, kuna mabilioni ya mabilioni ya nyota.

Nyota nyingi zina sayari, sayari nyingine nyingi tu zina mazingira ya ku support uhai kama ya dunia.

Ukiweza kusafiri kutoka nyota hii ya jua, kwenda kwenye nyota nyingine kama Alpha Centaruri iliyo some 4.367 light years kutoka hapa, unaweza kukuta sayari nyingine inayoweza ku support maisha kama dunia.

Maana yake, jua linaweza kufikia mwisho, dunia ikafikia mwisho, lakini maisha ya watu walioweza kusafiri kwenda nyota nyingine, kitu ambacho ni kigumu lakini kinawezekana, yakaendelea.
 
Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!

Hivi wakuu jua mnalionaje?
Ondoa uoga hakuna kitu kama hicho cha kuchomana kwenye moto milele
 
Mkuu kuchomana milele siyo kabisa. Mungu wetu ana huruma. Sisi tunaimwamini tunashindwa kutafsiri maandiko.

Wakati mwingine nalazimika ku-buy idea ya Mashahidi wa Yehova ili kujifariji.
Moto ni balaa, bora hata wakatoriki wanaamini kuna dhambi kubwa na ndogo.

Wenye dhambi ndogo watapata adhabu Kidogo then watasamehewa🤣

INASIKITISHA sana kumpa adhabu MOJA mwizi wa kuku, na mtesaji- muuaji wa raia.

Kwamba Mungu adhabu yake ni moja tu, KUCHOMA MOTO 🔥🔥🔥
 
Unajua tunacheka utafikili ni mazuri haha
 
Hawa NASA hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…