Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwan vp, kuna dhambi umetendaNawaza tu kama mionzi yake inaleta mpaka kansa huko sijui itakuaje
Bila Jua, duniani hakuna maisha. Sasa kama Jua lina mwisho, hata dunia ina mwisho pia.Kwa mujibu wa fizikia ya sasa na kwa kuangalia nyota nyingine zilizo kama jua, jua haliwezi kuwaka milele. Litamaliza nuclear fusion inayolifanya liwake katika miaka takibani bilioni 4.5 ijayo.
Jua ni nyota, linaonekana kubwa hivyo kwa sababu ni nyota iliyo karibu tu.
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Mkuu sisi wa nchi za matakoni tutaweza kweli izo universal transfer kweli akati hatuna lab za kitaalamu kama nasa tukinunua ndege mpaka wachungaji wakaombee je izo space ship itakuajeMimi naona kama vile kuvuka miaka 500 ijayo tu ni kashehe.
Ma coronavirus na ma global warming yanaweza kutumaliza mapema sana kabla ya hilo jua kuanza kasheshe zake.
Kwa kweli kitu muhimu ni kuwa na uwezo wa kusafiri kati ya nyota moja na nyingine (interstellar travel) ili kikinuka sayari moja, watu waweze kwenda kutafuta makazi kwenye sayari nyingine.
Hapana mkuuMkuu kwan vp, kuna dhambi umetenda
Sasa ilo jua huisi ndio motoni kwenyewe mkuuBila Jua, duniani hakuna maisha. Sasa kama Jua lina mwisho, hata dunia ina mwisho pia.
Haha uchagui kambi ao sioNadhan suala ni kujikubali tu kwamba utabanikwa at the end of the day...so iwe kwa jua au kwa moto vyote sio ishu
Jua lina mwisho, dunia (earth) ina mwisho.Bila Jua, duniani hakuna maisha. Sasa kama Jua lina mwisho, hata dunia ina mwisho pia.
Ondoa uoga hakuna kitu kama hicho cha kuchomana kwenye moto mileleLeo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh!
Hivi wakuu jua mnalionaje?
Popote kambi mzee mfungwa hachagui gereza hakimu akigonga nyundo chini...Haha uchagui kambi ao sio
Ila...... nin sasa kitatokea?!Ondoa uoga hakuna kitu kama hicho cha kuchomana kwenye moto milele
Hehehehe, wewe ni Mashahidi wa Yehova 🤣Ondoa uoga hakuna kitu kama hicho cha kuchomana kwenye moto milele
Mkuu kuchomana milele siyo kabisa. Mungu wetu ana huruma. Sisi tunaomwamini tunashindwa kutafsiri maandiko.Hehehehe, wewe ni Mashahidi wa Yehova 🤣
Moto ni balaa, bora hata wakatoriki wanaamini kuna dhambi kubwa na ndogo.Mkuu kuchomana milele siyo kabisa. Mungu wetu ana huruma. Sisi tunaimwamini tunashindwa kutafsiri maandiko.
Wakati mwingine nalazimika ku-buy idea ya Mashahidi wa Yehova ili kujifariji.
Mkuu unasema..Ondoa uoga hakuna kitu kama hicho cha kuchomana kwenye moto milele
Unajua tunacheka utafikili ni mazuri hahaMoto ni balaa, bora hata wakatoriki wanaamini kuna dhambi kubwa na ndogo.
Wenye dhambi ndogo watapata adhabu Kidogo then watasamehewa🤣
INASIKITISHA sana kumpa adhabu MOJA mwizi wa kuku, na mtesaji- muuaji wa raia.
Kwamba Mungu adhabu yake ni moja tu, KUCHOMA MOTO 🔥🔥🔥
Ondoa woga wa kuchomwa milele...enjoy lifeMkuu unasema..
Hawa NASA hawaJua lina mwisho, dunia (earth) ina mwisho.
Jua ni nyota, kuna mabilioni ya mabilioni ya nyota.
Nyota nyingi zina sayari, sayari nyingine nyingi tu zina mazingira ya ku support uhai kama ya dunia.
Ukiweza kusafiri kutoka nyota hii ya jua, kwenda kwenye nyota nyingine kama Alpha Centaruri iliyo some 4.367 light years kutoka hapa, unaweza kukuta sayari nyingine inayoweza ku support maisha kama dunia.
Maana yake, jua linaweza kufikia mwisho, dunia ikafikia mwisho, lakini maisha ya watu walioweza kusafiri kwenda nyota nyingine, kitu ambacho ni kigumu lakini kinawezekana, yakaendelea.
Tucheke tu maana hakuna namna...Unajua tunacheka utafikili ni mazuri haha