Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!

Me kwa upande wangu ni Rihanna, sijajua kwanini kauteka sana moyo wangu huyu mwanadada. Rihana Fenty(Riri) always on ma heart.
 
Sijui kama kweli but niliwahi sikia nyimbo za Whitney zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma
na zimewahi kutumiwa na NASA huko kwenye space....
Ni kweli mkuu, huyu bidada alikuwa na nyota kali na uwezo pia.
Mi nampendaga zaidi aliponinogeshea na ile movie yake ya Bodyguard.
Nampendaga sana, huyu dada hakuna nyimbo/movie yake ambayo sina.

**Infact nilimpenda sana hadi nikaoa mke anafanana nae kwa vingi**
 
Yaa kuna dada mmoja naona anakuja kwa kasi sana....*shilole* huyo anaweza fikia level hizo
 
Unadhani the greatest woman singer of all time atakuwa ni nani? sidhani kama ni Whiney
 
Huwa sichoki kusikiliza huyu marhumu sauti na tungo zake ni murua kwa moyo.
 

Ongeza Didn't we almost have it all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…