Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!

Hivi itakuja kutokea duniani muimbaji bora wa kike kama Whitney Houston?!

Me kwa upande wangu ni Rihanna, sijajua kwanini kauteka sana moyo wangu huyu mwanadada. Rihana Fenty(Riri) always on ma heart.
 
Sijui kama kweli but niliwahi sikia nyimbo za Whitney zilikuwa zikitumika kuwaamsha wagonjwa walio kwenye coma
na zimewahi kutumiwa na NASA huko kwenye space....
Ni kweli mkuu, huyu bidada alikuwa na nyota kali na uwezo pia.
Mi nampendaga zaidi aliponinogeshea na ile movie yake ya Bodyguard.
Nampendaga sana, huyu dada hakuna nyimbo/movie yake ambayo sina.

**Infact nilimpenda sana hadi nikaoa mke anafanana nae kwa vingi**
 
Yaa kuna dada mmoja naona anakuja kwa kasi sana....*shilole* huyo anaweza fikia level hizo
 
Wadau kwa muda wa miaka mingi nimesikiliza muziki wa RnB, Soul na Pop hasa wa wasanii wa kike ila mpaka sasa sijapata wa kumfikia WH! Huyu katika wasanii hakika alikuwa msanii na sidhani kama kuna msanii wa kufikia records alizoweka!
Mpaka anafariki alikuwa kashapata tuzo, 640+ huku akiwa nominated zaidi ya mara 781!!
Mbali na Whitney Houston Wasanii wanaomfatia kwa ubora ni pamoja na

2. Mariah Carey

3. Celine Dion

4. Christina Aguilera

5. Beyonce

6462db0a37784bd65ea396f5799f8e22.jpg


36eecb7c6ffaa7c9e4dd1cc8063d4643.jpg
Unadhani the greatest woman singer of all time atakuwa ni nani? sidhani kama ni Whiney
 
Hapo ongeza i have nothng, saving my love, heart broken hotel..wanna danc with smbdy

Inshort huyu mama alimaliza kiu ya music tena mkute akiwa jukwaani anavyocheza na sauti u gonna[emoji173]
Kuna kippindi Jennifer hudson alikuwa anakuja kuja well ila stil yupo poa pia.

RIP

Ongeza Didn't we almost have it all
 
Back
Top Bottom