Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Jack pemba ni jamaa hivi mkongoman mwenye uraia wa marekan lkn anaishi nchi nyingi hapa kwetu anaishi ,uganda, kenya , aliwahi kuwa mme wa aunty ezekiel kabla hajaolewa na sunday demonte ambaye alifungwa jela dubai ,huyo jack pemba alimpiga aunty akiwa mjamzito wa mimba ya miezi 7 hadi kusababisha aunty kuzaa mtoto mfu ndo sababu ya kuachana. So aunty mwenyewe na mose iyobo ni ndoa ya 3, maana sunday demonte walifunga ndoa kabisa na bonge la shela alivaaa.
 
Back
Top Bottom