Hivi Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi kaishia wapi?

IPP huko ndio mama wa watoto keshaharishia kambi. Karo za IST bila kulipiwa na mwajiri/kampuni ni shughuli pevu. Dubai public schools ni nzuri. Anaweza peleka watoto public school na wakapata elimu nzuri.
Alikuwa bado analipiwa hata sehemu Yao ya kukaa ni ukorofi tu wa klyn na walio mshauri kufungua ma will fake aisee
 
Kama biblia imeandika hivo mbona watu wa zamani walikuwa wanaishi muda mrefu sana ina maana inakinzana yenyewe kwa yenyewe chief? Anyway tustick kwenye mada, wenye kujua alipo watatujuza
 
Kama biblia imeandika hivo mbona watu wa zamani walikuwa wanaishi muda mrefu sana ina maana inakinzana yenyewe kwa yenyewe chief? Anyway tustick kwenye mada, wenye kujua alipo watatujuza

Zaburi 90:10 inasema hivi.
Miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara!
 
Zaburi 90:10 inasema hivi.
Miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara!
Sasa mimi nauliza FRESHMAN wale waliokuwa wakiishi miaka elfu na kadhaa, yenyewe haikuwaona?
 
Aiseee
 
Klyin angetakiwaga amulinde sana yule mzee Sasa alivo mjinga sijui alienda kuloga mke mkubwa afe kwanza Ili awe huru Matokeo yake mzee naye akaanza shida. Klyin anatia huruma sana
Umeme haulogwi mkuu, kila mtu ana njia yake ya kwenda kwa muumba wake,grid ya taifa nayo haichagui ipite wapi,kule alikoenda mama kwa yule Dr papaa ni high voltage
 
Tena Hana bahati, mahakama imejua kafoji nyaraka, Ila wamemuacha huru bila ya kumtia hatiani.
 
Umeme haulogwi mkuu, kila mtu ana njia yake ya kwenda kwa muumba wake,grid ya taifa nayo haichagui ipite wapi,kule alikoenda mama kwa yule Dr papaa ni high voltage
Ndio haulogwi ila kwa huyu mzee stress ziliongezeka kwa kuwa na huyu kimwana, wanaume watu wazima huhitaji kulindwa na kufanyiwa treatment njema, bila hivo huharakisha kufa kabla ya siku zao Sasa huyo klyn mtu mgonjwa wa operation tena ya moyo sijui ana stroke yeye ni ana mzururulisha eti vacation, mara Dubai Hadi mzee kadondoka yuko mwenyewe dada anakula Bata utegemee nini?
 
Yani alibugi sana kufoji will binafsi nimemshusha thamani..
Hata rfk zake wamemuona kabisa sio mtu mwema.
 
Yani alibugi sana kufoji will binafsi nimemshusha thamani..
Hata rfk zake wamemuona kabisa sio mtu mwema.
Wale marafiki ni wanafiki walikuwa hawampendi huyo klyin ni vile mzee alikuwaga na hela pia na yeye alikuwaga anawakatia tiketi wanaenda wote vacation,mwenzao ana matatizo wakamkimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…