Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwahio Wajapan wanapewa Bonus kuliko sisi na wenzetu huko Central African Republic walimkosea nini muumba hadi kunyimwa hii Bonus ?Mzee wa miaka 75 kweli aendelee kuishi.
Biblia imeandika miaka 70 ndio umri wa kuishi zaidi ya hapo ni bonus tu.
Jack wa watu vitu vingine tunamsingizia
Kwa penz jack alilompa mzee uzeeni limemuongezea siku za kuishi. Nina uhakika bila penz tamu la Jack mzee asingefika 75 age