Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

Wanatuhis mahanithi, mashoga, mabahiri a.k.a wamimi(wabinafsi) , domo zege, wagonjwa, tuna vibamia nk
Ila kila mtu anajua ni mtu wa aina gan anaemuitaji na vigezo vip anaviangalia
 
Ukiishi kwa kuangalia jamii inasema nini ndugu siku ukipatwa na lolote jamii hiyo hiyo pia itasema, muhimu focus na interest zako watakaosema watajijua wao.
 
wan
Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana

Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja
Kuna jamaa hapo bdo yupo kwa mama hapo walitofautia kidogo na dada yake ugomvi ulivyozidi kama unavyojua Tena wanawake akamchana jamaa

'ndo mana utaki kuoa huo wote ni uchoyo tu'

Sasa turudi kwenye hoja yangu jamii wanamtaa,ndugu,au marafiki wanamuonaje kijana wa kiume ambaye hajaoa au amekaa mda mrefu bila mwenza
wanakuona kama muhuni mhuni hivi.....
 
Back
Top Bottom