Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
20,921
Reaction score
49,014
Za jioni jamani,

Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu cha mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika.

Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini hii?

Wenye Imani tofauti na Mimi labda huko mmeona uumbaji wa Jehanamu .
 
iliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..

unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
 
Mungu wangu!huko tujitahidi tusifike jamani,tutende mema
 
iliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..

unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Unadhani huo moto unaosemwa, utaleta manufaa gani kwake aliyetoa amri ya kuchochea? Kwa namna nyingine naona kama tutakuwa vitoweo.
 
Za jioni jamani,

Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika...
Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini hii?
Wenye Imani tofauti na Mimi labda huko mmeona uumbaji wa Jehanamu .
Nadhani pia Moto wa jehanamu unakusubiri....coz uligoma kukubali hisia zangu

Nikubalie ombi langu utakua safe......
 
Wewe joannah Ndiyo Nini kuleta nyuzi ya namna hii usiku..!!?unataka nisome comments zinitishe nishindwe kulala sio?..
Hicho ndio wanachotaka, kututia hofu tuogope. Dunia inaendeshwa kwa misingi ya Hofu/kuogopeshana ndio maana tunaambiwa tutachomwa moto tusipofanya so and so but that's just a Faith built on Fear.

Hofu ni imani. Imani yako inaweza kukuponya au kukuangamiza. Kama mama/baba yako aliyekuzaa hawezi kukuchoma moto mpaka ukateketea je Mungu mwenye upendo aliyekuumba unadhani anafurahia kukuchoma moto for eternity huuh?? Si kweli, hakuna kitu kama hicho, Mungu wetu ni wa upendo. Hayo Maneno yamewekwa na watu tu ili kutujazia hofu.

Wamemfanya tumuone Mungu kwamba ni katili asiye na upendo wala huruma.
 
Nadhani pia Moto wa jehanamu unakusubiri....coz uligoma kukubali hisia zangu

Nikubalie ombi langu utakua safe......
Mathayo 7:7-8 inasema hivi"Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa.Kwa maana kila ombaye hupokea,naye atafutaye huona,naye abishaye atafunguliwa
Ulikuwa na ombi gani kwani Labani?
 
Back
Top Bottom