Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jehanam/Kuzimu ni mahali pa mateso hapo awali palipotayarishwa na Mungu kwa ajili ya shetani na malaika zake (Mathayo 18:9; 25:41). Maneno Hadesi (Kigiriki) na Sheoli (Kiebrania) nyakati fulani huhusishwa na kuzimu. Hata hivyo, Hades/Sheoli ni mahali au ulimwengu ambapo roho za watu huenda wanapokufa (ona Mwanzo 37:35). Hadesi/Sheoli si lazima mahali pa mateso kwa sababu watu wa Mungu walisemekana kwenda huko pamoja na waovu. Katika Agano Jipya, tunaona kwamba Hadesi kwa namna fulani “imegawanywa.” Hiyo ni, ulimwengu wa wafu umegawanywa katika mahali pa faraja na mahali pa mateso (Luka 16:19–31). Kuna maneno mengine yanayohusiana na kuzimu katika Biblia kama vile Gehena na ziwa la moto. Ni wazi kwamba kuna mahali halisi ambapo roho za wasiookolewa huenda milele (Ufunuo 9:1; 20:15; Mathayo 23:33). Kila kitu kilichowahi kuwako au kilichopo au kitakachokuwa kimeumbwa na Mungu, pamoja na kuzimu (Wakolosai 1:16). Yohana 1:3 inasema, “Vyote vilifanyika kwa huyo, wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kumtupa mtu motoni (Luka 12:5). Yesu anazo funguo za mauti na kuzimu (Ufunuo 1:18). Yesu alisema kwamba kuzimu “imetayarishwa” kwa ajili ya Shetani na roho waovu (Mathayo 25:41). Ni adhabu ya haki kwa mwovu. Jehanamu, au ziwa la moto, itakuwa pia mwisho wa wale wanaomkataa Kristo (2 Petro 2:4–9). Habari njema ni kwamba watu wanaweza kuepuka kuzimu. Mungu, katika rehema na upendo wake usio na kipimo, amefanya njia ya wokovu kwa kila mtu anayemwamini Mwana wa Mungu, Yesu Kristo (Yohana 3:16, 36; 5:24).Za jioni jamani,
Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika...
Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini hii?
Wenye Imani tofauti na Mimi labda huko mmeona uumbaji wa Jehanamu .
Nawe ukaamin ipo😁Si huko Jehanamu huko!
Moto ukawa mweusi.iliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..
unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Yaaaan ni hivi "MOTO UKAWA MWEUSI" 😂😂🙌🙌Moto ukawa mweusi.
Ina mana hapa hata ile ROYGBIV hai apply?? Moto uwe mweusi???
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Aisee walio tubrainwash na dini walifanya kazi nzito sanaYaaaan ni hivi "MOTO UKAWA MWEUSI" [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Nimevisoma vifungu vyote,na sijapinga uwepo wake,Ila msingi wa Swali langu Ni lini iliuumbwa?mbona vitu vyote vikubwa vimeelezewa uumbaji wake kwanini uumbaji wa Jehanamu umesahaulika?Kuna haja ya kuupdate maandiko ?Jehanam/Kuzimu ni mahali pa mateso hapo awali palipotayarishwa na Mungu kwa ajili ya shetani na malaika zake (Mathayo 18:9; 25:41). Maneno Hadesi (Kigiriki) na Sheoli (Kiebrania) nyakati fulani huhusishwa na kuzimu. Hata hivyo, Hades/Sheoli ni mahali au ulimwengu ambapo roho za watu huenda wanapokufa (ona Mwanzo 37:35). Hadesi/Sheoli si lazima mahali pa mateso kwa sababu watu wa Mungu walisemekana kwenda huko pamoja na waovu. Katika Agano Jipya, tunaona kwamba Hadesi kwa namna fulani “imegawanywa.” Hiyo ni, ulimwengu wa wafu umegawanywa katika mahali pa faraja na mahali pa mateso (Luka 16:19–31). Kuna maneno mengine yanayohusiana na kuzimu katika Biblia kama vile Gehena na ziwa la moto. Ni wazi kwamba kuna mahali halisi ambapo roho za wasiookolewa huenda milele (Ufunuo 9:1; 20:15; Mathayo 23:33). Kila kitu kilichowahi kuwako au kilichopo au kitakachokuwa kimeumbwa na Mungu, pamoja na kuzimu (Wakolosai 1:16). Yohana 1:3 inasema, “Vyote vilifanyika kwa huyo, wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kumtupa mtu motoni (Luka 12:5). Yesu anazo funguo za mauti na kuzimu (Ufunuo 1:18). Yesu alisema kwamba kuzimu “imetayarishwa” kwa ajili ya Shetani na roho waovu (Mathayo 25:41). Ni adhabu ya haki kwa mwovu. Jehanamu, au ziwa la moto, itakuwa pia mwisho wa wale wanaomkataa Kristo (2 Petro 2:4–9). Habari njema ni kwamba watu wanaweza kuepuka kuzimu. Mungu, katika rehema na upendo wake usio na kipimo, amefanya njia ya wokovu kwa kila mtu anayemwamini Mwana wa Mungu, Yesu Kristo (Yohana 3:16, 36; 5:24).
Ha haaaaAisee walio tubrainwash na dini walifanya kazi nzito sana
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Ni kweli, MUNGU NI PENDO...ukute ndio maana Hakuna sehemu kwenye uumbaji umeonyesha aliumba hiyo kituHicho ndio wanachotaka, kututia hofu tuogope. Dunia inaendeshwa kwa misingi ya Hofu/kuogopeshana ndio maana tunaambiwa tutachomwa moto tusipofanya so and so but that's just a Faith built on Fear.
Hofu ni imani. Imani yako inaweza kukuponya au kukuangamiza. Kama mama/baba yako aliyekuzaa hawezi kukuchoma moto mpaka ukateketea je Mungu mwenye upendo aliyekuumba unadhani anafurahia kukuchoma moto for eternity huuh?? Si kweli, hakuna kitu kama hicho, Mungu wetu ni wa upendo. Hayo Maneno yamewekwa na watu tu ili kutujazia hofu.
Wamemfanya tumuone Mungu kwamba ni katili asiye na upendo wala huruma.
Watu wa jamii ya LUT na NOAH walisamehewa e?Ni kweli, MUNGU NI PENDO...ukute ndio maana Hakuna sehemu kwenye uumbaji umeonyesha aliumba hiyo kitu
Ila imezaa matunda, saiv raia ziko kwny mstar everythng ni yesAisee walio tubrainwash na dini walifanya kazi nzito sana
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app