Shukrani.Aiseee...sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani.Aiseee...sawa
Uwe unasoma biblia mrembo.😂Ngoja niendelee kunywa mtori...Thanx anyway
Oh ulitaka nikuwekee vifungu vya neno? Mimi nime-assume kwamba unasoma biblia.😂😂😂😂Hapa nipo nayo yaani ,Ila wewe ndio upo shallow Hadi nimeamua nikuachie maana huwezi kujibu maswali yangu....Swali langu Ni moja tu Ila huna reference la kulijibu.
Nasoma Sana!Ila sijaona wapi Mungu aliumba Jehanamu......rejea kitabu Cha Mwanzo Kuna habari za uumbaji mpaka Miche ya kondeni imekuwaje sehemu shababy Kama Jehanamu umesahaulika kuelezewa?....(mfano,siku ya tatu akaumba Jehanamu,akasema na liwe ziwa la Moto,likawa!)u see?Oh ulitaka nikuwekee vifungu vya neno? Mimi nime-assume kwamba unasoma biblia.
Nahisi hiyo siku ikifika Mungu atatengeneza shimo kubwa atalitumbukiza Jua humo shimoni pamoja na watu ili liwachome
Mwanzo 2:16-17. BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika”.😂😂😂😂Hapa nipo nayo yaani ,Ila wewe ndio upo shallow Hadi nimeamua nikuachie maana huwezi kujibu maswali yangu....Swali langu Ni moja tu Ila huna reference la kulijibu.
Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. Unaelewa ukubwa wa hiyo sentensi? Hii inazungumzia ulimwengu mzima (the entire universe). Hapo kama kila detail ingetajwa basi kitabu kisingeisha.Nasoma Sana!Ila sijaona wapi Mungu aliumba Jehanamu......rejea kitabu Cha Mwanzo Kuna habari za uumbaji mpaka Miche ya kondeni imekuwaje sehemu shababy Kama Jehanamu umesahaulika kuelezewa?....(mfano,siku ya tatu akaumba Jehanamu,akasema na liwe ziwa la Moto,likawa!)u see?
Sawa,hayo ya kufa Sina tatizo nayo....Mwanzo 2:16-17. BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika”.
Mathayo 25:41 SRUV
Kisha atawaambia na wale walioko katika mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake
Sasa Jehanamu unaiona sio eneo Muhimu?mkuu are you serious?.... Jehanamu kwanza Ni sehemu unique,hebu fikiria ziwa la Moto wewe umewahi kuona wapi?maziwa yote duniani Yana maji...Sasa kwa Nini Unataka kupaona Kama Ni sehemu ya kawaida tuHapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. Unaelewa ukubwa wa hiyo sentensi? Hii inazungumzia ulimwengu mzima (the entire universe). Hapo kama kila detail ingetajwa basi kitabu kisingeisha.
Biblia imeandikwa kwa kuweka focus kwenye yale maeneo muhimu katika kuelezea mpango wa Mungu katika uumbaji, kuingia kwa dhambi, mpango wa ukombozi na ulimwengu ujao.
Ukisoma mwanzo 1:1 hadi mwanzo 1:2 unajua hapo katikati ya hiyo mistari miwili ni miaka zaidi ya bilioni nne? Ukifuatilia biblical theology utalifahamu hilo. Wanasayansi wapo sahihi kusema dunia yetu imekuwepo kwa miaka bilioni nne plus.Sawa,hayo ya kufa Sina tatizo nayo....
Shida Ni huo Moto wa milele, Jehanamu,au ziwa la Moto ukiachana na hiyo mathayo hapo hili neno limerudiwa Mara nyingi Sana Ila haujaonekana uliandaliwa lini??
Mkuu hili Swali usilichukulie poa
Nimekujibu hapo juu.Sasa Jehanamu unaiona sio eneo Muhimu?mkuu are you serious?.... Jehanamu kwanza Ni sehemu unique,hebu fikiria ziwa la Moto wewe umewahi kuona wapi?maziwa yote duniani Yana maji...Sasa kwa Nini Unataka kupaona Kama Ni sehemu ya kawaida tu
Kwanini unasema nime-assume? Iko obvious kwasababu iliandaliwa baada ya shetani kuasi (mathayo 25:41) na hii ilikuwa kabla ya kuumbwa mwanadamu.Yaani hapa ume assume au sio?
Iko hivi dadaake.. Jehanum ni matokeo sio chanzo... Yani ni kama moshi kwenye gari haujaumbwa wala hauna bajeti yake bali ni end product isiyotakikana kutokana na kazi ya engineKaka mkubwa,hapa ume assume.....kwa Nini tukio kubwa la kuundwa sehemu nyeti Kama hii halina rekodi?
Ook,najaribu kutafakari,kwamba Adam asingekula Tunda Jehanamu isingetokea.Iko hivi dadaake.. Jehanum ni matokeo sio chanzo... Yani ni kama moshi kwenye gari haujaumbwa wala hauna bajeti yake bali ni end product isiyotakikana kutokana na kazi ya engine
Most likely.. Lakini ni sawa na kusema kama gari isingewashwa basi moshi usingetokeaOok,najaribu kutafakari,kwamba Adam asingekula Tunda Jehanamu isingetokea.