Mungu wangu!huko tujitahidi tusifike jamani,tutende memailiumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..
unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Ina maana wakoloni wanatuchezea akili zetu?mbona hata wazungu wenzao wanaamini Jehanamu ipo?Hakuna jehanam, ni mbinu za waliotuletea dini ili tukubali kwa hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani huo moto unaosemwa, utaleta manufaa gani kwake aliyetoa amri ya kuchochea? Kwa namna nyingine naona kama tutakuwa vitoweo.iliumbwa baada ya kuumbwa pepo..
malaika waliambiwa wauchochee moto hadi ukawa mweupe!!
mungu akawaambia bado uchocheeni tena,ukachochewa ukawa mwekundu.
mungu akasema bado!!chochea.
hadi ulipokuwa mweusi ndio akasema ishieni hapo hapo..
unaambiwa huu moto wote unaona huku duniani hata ule wa makombora ya urusi na nyuklia zake ni kijivu tuu kidogo kutoka ktk jehanam!!
Hadith za kutungwa hzoπππ tena na wazunguHakuna jehanam, ni mbinu za waliotuletea dini ili tukubali kwa hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani pia Moto wa jehanamu unakusubiri....coz uligoma kukubali hisia zanguZa jioni jamani,
Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu Cha Mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika...
Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini hii?
Wenye Imani tofauti na Mimi labda huko mmeona uumbaji wa Jehanamu .
Mbona nao uamini ipoHadith za kutungwa hzoπππ tena na wazungu
Yaan hz story za jehanam n.k ni mipango ya watu wachache walioamua kui control dunia kupitia hofu.Mbona nao uamini ipo
πππ Huko wapiJamani jamani,tusije tukajikuta huko ooohoo
Ipo lkn huwezi jua kama ipo kama huna elimu kuhusu ulimwengu usioonekanaYaan hz story za jehanam n.k ni mipango ya watu wachache walioamua kui control dunia kupitia hofu.
Hicho ndio wanachotaka, kututia hofu tuogope. Dunia inaendeshwa kwa misingi ya Hofu/kuogopeshana ndio maana tunaambiwa tutachomwa moto tusipofanya so and so but that's just a Faith built on Fear.Wewe joannah Ndiyo Nini kuleta nyuzi ya namna hii usiku..!!?unatakanisome comments zinitishe nishindwe kulalasio?..
Mathayo 7:7-8 inasema hivi"Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa.Kwa maana kila ombaye hupokea,naye atafutaye huona,naye abishaye atafunguliwaNadhani pia Moto wa jehanamu unakusubiri....coz uligoma kukubali hisia zangu
Nikubalie ombi langu utakua safe......